Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Max na Jamii Media wamethibitsha kushiriki kabla hujaandika uzi rasmi wa venue na siku ya party. Niliandika kuhusu Max kuwa mgeni rasmi sio kutoshiriki.
Max amekataa ingekuwa maongezi ya PM yanaruhusiwa jukwaani ningeweka hapa
 
Mzigua Toto lakizigua,

Utakuja kuniua,

Mahaba hujawahi kufulia,

Hakika Umetulia,

Wanafiki tupa kulia,

Waache wakacheze natulia,


Mimi nipo kilomita 829 toka Dare es salam,na usawa huu nahema nusu nusu kama mgonjwa wa Pumu.

Nawatakia Maandalizi Mema na Furaha njema siku ya Tukio.

Peace!!!!
 
Back
Top Bottom