Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Unafanya muamala na kutuma jina utakaloingia nalo kwenye venue. Hata sisi hatutajua ni Mr Q au mzigua alielipia kwa jina la Juma David.
sante kwa maelezo ila pari haita pendeza ka nisipotoka namjua mzigua kwa sura yake

Onyo kwa tutakao hudhuria usimpe mtu usie mtu aashike simu yako hata kwa dakk 2 au 3 hata kma ataomba kupiga simu au kmtumia mtu sms kupitia simu yako

tusije potezwa na #wanaojulikanawasiojulikana
 
Mimi siku hiyo kujulikana hakukwepeki mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…