Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema hilo goma hiyo siku itabidi tulichezd tu hakuna jinsi
Nitakulipia usijaliNipo Dar ila nimefulia kuna offer ya bure?.
Nimesikia hadi mende watakuwepoPatakuwepo na chura?
sante kwa maelezo ila pari haita pendeza ka nisipotoka namjua mzigua kwa sura yakeUnafanya muamala na kutuma jina utakaloingia nalo kwenye venue. Hata sisi hatutajua ni Mr Q au mzigua alielipia kwa jina la Juma David.
Mpya kbsaa hiz AISEE.... K VANT mpyaaaaa habari ya TownHahahahaa.. za zamani au mpya utapendelea?
sante kwa maelezo ila pari haita pendeza ka nisipotoka namjua mzigua kwa sura yake
Onyo kwa tutakao hudhuria usimpe mtu usie mjuaashike simu yako hata kwa dakk 2 au 3 hata kma ataomba kupiga simu au kmtumia mtu sms kupitia simu yako
tusije potezwa na #wanaojulikanawasiojulikana
Mkuu jina Ochumeraa lilitaka kufanana na jina churaa![emoji1][emoji1][emoji1][/b]Nimesikia hadi mende watakuwepo
Mpya kbsaa hiz AISEE.... K VANT mpyaaaaa habari ya Town