Ayo mauchafu nayapendaga mno mkuuMkuuuu upo viZur....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sehem gan madame..!Njoo Serious
Unatoa amber rutty?Nipo Dar ila nimefulia kuna offer ya bure?.
Nataka twende kwenye party uko ukajichagulie chura sitaki upate shida kabisaShangazi hadi huku unafika?!
Mke wangu kama sio member wa jf anaruhusiwa?, na je mtatumia vigezo gani kumtambua kama ni member wa jf?
Nimekuvulia kofia aisee dahhhh.....!Ayo mauchafu nayapendaga mno mkuu
Wakilisheni asee. Ila nitafanya mchakato nilipie ikitokea sijaondoka nitakuwepo. Ikitokea naondoka nitampa mtu huo mwaliko.Basi usisahau kutuombea sisi tutakaoshiriki
Chura si ulishanipatia tayari shangazi? Sitaki tena mwingine mie!!Nataka twende kwenye party uko ukajichagulie chura sitaki upate shida kabisa
Nilijua unataka na mwingine basi jiandae twende tukashangae shangaeChura si ulishanipatia tayari shangazi? Sitaki tena mwingine mie!!
Changamoto, namsubiria akitia maguu atakoma!Hahahahahahaa.. pole kwa kuzidiwa akili
Malaika loungeSehem gan madame..!
Kuna mdau alikuwa anataka ofa huko juu,usipoenda mpe huyoWakilisheni asee. Ila nitafanya mchakato nilipie ikitokea sijaondoka nitakuwepo. Ikitokea naondoka nitampa mtu huo mwaliko.
Au hairuhusiwi viongozi?
Kumbe unakipata aisee.... yaan ukinywa lazm ukitendee haki.......Hahahahaa. Hiyo pombe tamu ukinywa karibu na mzinga wa nyuki utalove show
Wakilisheni asee. Ila nitafanya mchakato nilipie ikitokea sijaondoka nitakuwepo. Ikitokea naondoka nitampa mtu huo mwaliko.
Au hairuhusiwi viongozi?
Siku hiyo nitakuwa pembeni mwa chura wangu![emoji4][emoji4][emoji4]Nilijua unataka na mwingine basi jiandae twende tukashangae shangae