Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Mkuu. Tunaamini wapo watu watakaochangia japo sio member kwa mfano kama mkeo maana hatutatumia ID zetu za JF. Tungependa waje members wa JF zaidi ila ikitokea mtu amependa kuja kulinda chake tunamkaribisha
Mke wangu kama sio member wa jf anaruhusiwa?, na je mtatumia vigezo gani kumtambua kama ni member wa jf?
 
Back
Top Bottom