dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Sawa tuombe uzima tufanikishe party πnitajua kwa kuwa muamala utakua umeingia kwangu na mchangiaji atakua ametuma message ya kuconfirm kuchanga.
Tuombe Mungu ifane mwakani watu watatoka wogaSidhani kama ni tatizo. Labda watu wengi bado waoga waoga. Ukiachilia mbali ambao wamewahi kuhudhuria tukio kama hilo (ambao wengi kusema kweli siku hizi hawamo humu) walio wengi humu ni wageni wa tukio kama hilo.
Nashauri/naomba mjitahidi hili lifanyike kwa mafanikio ili siku nyingine liweze kuwavuta member wengi ambao wengi ni wageni na waoga waoga.
Habari za jioni Wakuu.
Zimebaki week tano kufanyika JF get together party na week nne za kuwasilisha michango.
Siku ya mwisho ya kutoa mchango ni tarege 8/12 na siku yenyewe maalum kabisa itakua tarehe 15/12 siku ya jumamosi.
Hivyo basi wale wenye nia ya kushiriki nasi karibuni nyote tukafurahi kwa pamoja
Kwa maelezo zaidi mnaweza kupata kupitia huu uzi
JF-get together party Disemba 2018 - JamiiForums
Madame B
Lipi?Lile lile ulilokua unalifungulia uzi party isiwepo.
Kukutana kubadilishana mawazo na kuhave fun.
Watu hamjuani ,hiyo raha ya kukutana itatoka wapi???
Weka mchanganuo wa hiyo pesaWewe usituchoshe. Mwanaume una gubu kama wifi. Kama wewe hujuani na watu n tatizo lako tuache tunaojuana tukajumuike. Halafu hii ni nchi huru usitupangie cha kufanya watu wazima wenzio.
We unataka kujua kama nani? halafu ikusaidie nini ukishaona mchanganuo? JIFUNZE KUBALANCE SHOBO mtoto wa kiume
Mgeni rasmi Madame B ??? Sasa party organizer inakuwaje anakuwa mgeni rasmi????Slow slow hapana. Mgeni rasmi kama sijakosea atakua kaka yetu Maxence au Madame B nimejichanganya?
πππππWe unataka kujua kama nani? halafu ikusaidie nini ukishaona mchanganuo? JIFUNZE KUBALANCE SHOBO mtoto wa kiume
Nimeuliza kistaarabu tu mkuu, mbona unakuwa mkali hivyo?
Asante kwa taarifa mzee mama.
Hakuna vigezo vya umri? vibabu na vitoto vinaruhusiwa?
vibabu namaanisha 65+ vitoto 21-.
Kutakuwa na juisi ya Embe