Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Sidhani kama ni tatizo. Labda watu wengi bado waoga waoga. Ukiachilia mbali ambao wamewahi kuhudhuria tukio kama hilo (ambao wengi kusema kweli siku hizi hawamo humu) walio wengi humu ni wageni wa tukio kama hilo.

Nashauri/naomba mjitahidi hili lifanyike kwa mafanikio ili siku nyingine liweze kuwavuta member wengi ambao wengi ni wageni na waoga waoga.
Tuombe Mungu ifane mwakani watu watatoka woga
 
Lengo kuu la hiyo party ni lipi?
Habari za jioni Wakuu.

Zimebaki week tano kufanyika JF get together party na week nne za kuwasilisha michango.
Siku ya mwisho ya kutoa mchango ni tarege 8/12 na siku yenyewe maalum kabisa itakua tarehe 15/12 siku ya jumamosi.
Hivyo basi wale wenye nia ya kushiriki nasi karibuni nyote tukafurahi kwa pamoja

Kwa maelezo zaidi mnaweza kupata kupitia huu uzi
JF-get together party Disemba 2018 - JamiiForums

Madame B
 
Wewe usituchoshe. Mwanaume una gubu kama wifi. Kama wewe hujuani na watu n tatizo lako tuache tunaojuana tukajumuike. Halafu hii ni nchi huru usitupangie cha kufanya watu wazima wenzio.
Weka mchanganuo wa hiyo pesa
 
Ndo unachokitaka. Kafungue tena uzi mwingine wa kusema party isifanyike maana ndo unachotafuta hapa. Zile nyuzi mbili sijui tatu ziliishia wapi kwanza? Una gubu sana Hance. Mawifi zako sijui unaishi nao vipi. Kama kitu hukitaki kiache waache wanaokifanya sio kila muda utake kutia pua yako.
Nimeuliza kistaarabu tu mkuu, mbona unakuwa mkali hivyo?
 
Waoooo babu yangu i misd you so much jomoni come and hug me maana siyo kwa kukumosi hukuu
Asante kwa taarifa mzee mama.

Hakuna vigezo vya umri? vibabu na vitoto vinaruhusiwa?

vibabu namaanisha 65+ vitoto 21-.
 
Back
Top Bottom