Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Lipi?
Watu hamjuani ,hiyo raha ya kukutana itatoka wapi???
Nimeuliza kistaarabu tu mkuu, mbona unakuwa mkali hivyo?
We jamaa mbona unapenda sana ligi alafu ni soft sana kama lotion?Lengo kuu la hiyo party ni lipi?
Ndo unachokitaka. Kafungue tena uzi mwingine wa kusema party isifanyike maana ndo unachotafuta hapa. Zile nyuzi mbili sijui tatu ziliishia wapi kwanza? Una gubu sana Hance. Mawifi zako sijui unaishi nao vipi. Kama kitu hukitaki kiache waache wanaokifanya sio kila muda utake kutia pua yako.
Narudia, jifunze kubalance shobo.
Hilo jina limekaa kiswahili swahili.Mwanahawa Hassan
Kuna nini kimejificha nyuma ya pazia?
Mgeni rasmi ni Maxence Melo ?
Si mlisema mnataka watu 50 tu ,vipi hawatimia bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hicho hicho unachokihisi. Embu tuache na shughuli yetu. Naona umechoka kuwaandika WCB unatafuta kwenda kuandika uzi mpya uanze kusema Mzigua na Madame B matapeli.
Unachoshindwa kutumia akili japo kidogo tu ni kwamba kwanini nyuzi za party zipo na hazijawahi kufutwa hata moja ila zako za gubu kutotaka party isiwepo zinafutwaga.
Unachotaka kukifanya wala hakitafanikiwa. Kaa jitulize subiri baada ya tarehe 15 watu waje wakisema wametapeliwa.
Hata kama umeamua kubadilika, ubuyu bado nakudai.Wamikoani tunaruhusiwa kujumuika au ni maalum kwa watu wa Dar peke yake?
Mwanahawa si huyo mwenzako anayeishi temeke ambaye kila kukicha anajitangaza anauza tigo yake.Laaaaaawd. Do yoh think naweza kuwa naitwa Mwanahawa? Mimi Mkristo Roman Catholic siiitwi mwanahawa chief.
Hii ni style mpya ya kudanga au?Kama kawaida kama kivuruge keshafika. Sijui tunambania wapi tukikutana. Ana shida sana huyu mwanaume (japo sina uhakika na jinsia yake) mwenzenu
We jamaa mbona unapenda sana ligi alafu ni soft sana kama lotion?
Kausha jomba kila mtu afate kilichomleta, usijione kuwa unajua zaidi ya wengine. Alafu ni ushamba wa kiwaki kuweka ligi na watoto wa kike.
Rudi kwa Kiranga aendelee kukupasua za uso kwa hoja zako za zero brain.
X
Yes mkuu japo hatujamwambia rasmi zaidi ya kumpa taarifa ya tukio tu
Maxence Melo hajashirikishwa, nilimuulizaMgeni rasmi ni Maxence Melo ?