Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Watu hamjuani ,hiyo raha ya kukutana itatoka wapi???
Nimeuliza kistaarabu tu mkuu, mbona unakuwa mkali hivyo?
Lengo kuu la hiyo party ni lipi?
We jamaa mbona unapenda sana ligi alafu ni soft sana kama lotion?

Kausha jomba kila mtu afate kilichomleta, usijione kuwa unajua zaidi ya wengine. Alafu ni ushamba wa kiwaki kuweka ligi na watoto wa kike.

Rudi kwa Kiranga aendelee kukupasua za uso kwa hoja zako za zero brain.

X
 
Kuna nini kimejificha nyuma ya pazia?
Ndo unachokitaka. Kafungue tena uzi mwingine wa kusema party isifanyike maana ndo unachotafuta hapa. Zile nyuzi mbili sijui tatu ziliishia wapi kwanza? Una gubu sana Hance. Mawifi zako sijui unaishi nao vipi. Kama kitu hukitaki kiache waache wanaokifanya sio kila muda utake kutia pua yako.
 
Hicho hicho unachokihisi. Embu tuache na shughuli yetu. Naona umechoka kuwaandika WCB unatafuta kwenda kuandika uzi mpya uanze kusema Mzigua na Madame B matapeli.
Unachoshindwa kutumia akili japo kidogo tu ni kwamba kwanini nyuzi za party zipo na hazijawahi kufutwa hata moja ila zako za gubu kutotaka party isiwepo zinafutwaga.
Unachotaka kukifanya wala hakitafanikiwa. Kaa jitulize subiri baada ya tarehe 15 watu waje wakisema wametapeliwa.

Si mlisema mnataka watu 50 tu ,vipi hawatimia bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani unadhani kaanza leo sasa? toka siku tumeleta tangazo la party huku keshafungua nyuzi kama tatu zote zinafutwa hajiongezi tu. Labda anahisi tumeiba idea yake ndo maana roho inampaparika hivi. Maana akiona tu JF party roho kama imtoke kwa husda

Back
Top Bottom