Aliyekuwa Dodoma.
Aje kunywa
Bili juu yangu
Naona Mmasai ameshaingilia uzi tayari na mambo siyo mambo tena!![emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Unajiaibisha saana kubishana na watoto wa kike,Grow up man!Hii ni style mpya ya kudanga au?
Mwanahawa si huyo mwenzako anayeishi temeke ambaye kila kukicha anajitangaza anauza tigo yake.
Party mlianza kuitangaza tangu mwezi wa 9 ,halafu mpaka leo hamjafikisha hata hao watu 50 mliokusudia, hamjishtukii tu?Kwani unadhani kaanza leo sasa? toka siku tumeleta tangazo la party huku keshafungua nyuzi kama tatu zote zinafutwa hajiongezi tu. Labda anahisi tumeiba idea yake ndo maana roho inampaparika hivi. Maana akiona tu JF party roho kama imtoke kwa husda
Najitahidi kusoma mwandiko wake huyo ni mwenzenu kabisa, tena anawajua vizuri tu ndio maana anawavurugaKama kawaida kama kivuruge keshafika. Sijui tunambania wapi tukikutana. Ana shida sana huyu mwanaume (japo sina uhakika na jinsia yake) mwenzenu
Hvi kwanini mnabishanaga na negative minded person hawa watawapotezea muda wenu bure nakwambiaWewe usituchoshe. Mwanaume una gubu kama wifi. Kama wewe hujuani na watu n tatizo lako tuache tunaojuana tukajumuike. Halafu hii ni nchi huru usitupangie cha kufanya watu wazima wenzio.
Jovitha nitafute,hope bado una contact zangu za WhatsAppUpo weyee
Haiti mwanahawa tuliza mshono. Namba iliyosajiliwa mwanahawa ni yangu. Hivi Kinondoni nako Temeke kumbe. Huku mnajifanya mnajua watu mpaka mnaonekana vituko.
Nisubiri hapiMalaika lounge
Jovitha nitafute,hope bado una contact zangu za WhatsApp
Ana kiherehere huyu binti sijui dume!!! Aliwahi kufungua uzi kuwa espy ndio atoto sijui hata nani alimuuliza!!!!Ndo unachokitaka. Kafungue tena uzi mwingine wa kusema party isifanyike maana ndo unachotafuta hapa. Zile nyuzi mbili sijui tatu ziliishia wapi kwanza? Una gubu sana Hance. Mawifi zako sijui unaishi nao vipi. Kama kitu hukitaki kiache waache wanaokifanya sio kila muda utake kutia pua yako.