Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Kwani unadhani kaanza leo sasa? toka siku tumeleta tangazo la party huku keshafungua nyuzi kama tatu zote zinafutwa hajiongezi tu. Labda anahisi tumeiba idea yake ndo maana roho inampaparika hivi. Maana akiona tu JF party roho kama imtoke kwa husda
Party mlianza kuitangaza tangu mwezi wa 9 ,halafu mpaka leo hamjafikisha hata hao watu 50 mliokusudia, hamjishtukii tu?
 
Nani anayekaa kinondoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo anayetoa tigo kila siku anajitangaza kwamba anajiuza na kipindi anakuja JF alikuwa anatafuta kazi za ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haiti mwanahawa tuliza mshono. Namba iliyosajiliwa mwanahawa ni yangu. Hivi Kinondoni nako Temeke kumbe. Huku mnajifanya mnajua watu mpaka mnaonekana vituko.
 
Ndo unachokitaka. Kafungue tena uzi mwingine wa kusema party isifanyike maana ndo unachotafuta hapa. Zile nyuzi mbili sijui tatu ziliishia wapi kwanza? Una gubu sana Hance. Mawifi zako sijui unaishi nao vipi. Kama kitu hukitaki kiache waache wanaokifanya sio kila muda utake kutia pua yako.
Ana kiherehere huyu binti sijui dume!!! Aliwahi kufungua uzi kuwa espy ndio atoto sijui hata nani alimuuliza!!!!

Achana nae mama, just do you. Kujifanya mjuaji kila jambo anajua yeye.
 
Back
Top Bottom