Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Naitamani sana hiyo party ili niwaone warembo wa JF watakavyo ipamba party. Ila nahisi nitakuwa nishawahi kwenye namba.
Wachache wataelewa.
Wachache wataelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo ulitaka kushangaa kwamba chura mwenyewe kareply hapa haahaaMkuu jina Ochumera lilitaka kufanana na jina chura! [emoji1][emoji1][emoji1]
Kukutana kubadilishana mawazo na kuhave fun.
Dahhhh hizo nilipiga siku moja nikaamka baada ya siku 3Mimi mzee wa kujidunga shujaa na coffee spirts ili nikate moto mapema
ntafurah kukujuaMimi siku hiyo kujulikana hakukwepeki mkuu.
Dahhhh hizo nilipiga siku moja nikaamka baada ya siku 3
[emoji120]Asante kwa taarifa mzee mama.
Hakuna vigezo vya umri? vibabu na vitoto vinaruhusiwa?
vibabu namaanisha 65+ vitoto 21-.
Naijua hiyo... kuna high life... kuna japo... mende.....! Zipo nyingi dahhh acha kbsaaIzo sasa ndio balaa alafu kuna uchafu mmoja unaitwa shimhwa
Utakuwa umeenda kuhesabiwa, pole sana kwa kuikosa hiyo...Ushiriki wako ni muhimu mkuu au huwezi ahirisha kwenye hesabu mwaka huuNaitamani sana hiyo party ili niwaone warembo wa JF watakavyo ipamba party. Ila nahisi nitakuwa nishawahi kwenye namba.
Wachache wataelewa.
Boss wewe sema tu unataka niwe mmasai au mmang'ati ila msinitupe jamani.Hahahaaaaa.. wamasai watakuwepo
Mkuu nawe babu au katoto?[emoji120]
Ongezea na Vladimir vodkaNaijua hiyo... kuna high life... kuna japo... mende.....! Zipo nyingi dahhh acha kbsaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo tuseme mmestaarabika hadi hamtaki walinzi?
Msinikoseshe ulaji jamani. Basi naombeni kazi ya kuserve.