Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Sidhani kama ni tatizo. Labda watu wengi bado waoga waoga. Ukiachilia mbali ambao wamewahi kuhudhuria tukio kama hilo (ambao wengi kusema kweli siku hizi hawamo humu) walio wengi humu ni wageni wa tukio kama hilo.

Nashauri/naomba mjitahidi hili lifanyike kwa mafanikio ili siku nyingine liweze kuwavuta member wengi ambao wengi ni wageni na waoga waoga.
 
Ntakuwa mlinzi mpokezi uku basi siku hiyo kama mtu siku hiyo ndo anazurura tu apati ngo naweka laptop standby [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
FB_IMG_1542049721009.jpeg
 
Back
Top Bottom