Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Twende woteNaitamani sana hiyo party ili niwaone warembo wa JF watakavyo ipamba party. Ila nahisi nitakuwa nishawahi kwenye namba.
Wachache wataelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende woteNaitamani sana hiyo party ili niwaone warembo wa JF watakavyo ipamba party. Ila nahisi nitakuwa nishawahi kwenye namba.
Wachache wataelewa.
Wewe usituchoshe. Mwanaume una gubu kama wifi. Kama wewe hujuani na watu n tatizo lako tuache tunaojuana tukajumuike. Halafu hii ni nchi huru usitupangie cha kufanya watu wazima wenzio.
Umewashirikisha au unatamka tu hewani??
Nimemuuliza Maxence Melo PM amekana kushirikishwa hili suala japo akishirikishwa anaweza akashiriki au asishiriki.
Mzigua Toto lakizigua,
Utakuja kuniua,
Mahaba hujawahi kufulia,
Hakika Umetulia,
Wanafiki tupa kulia,
Waache wakacheze natulia,
Mimi nipo kilomita 829 toka Dare es salam,na usawa huu nahema nusu nusu kama mgonjwa wa Pumu.
Nawatakia Maandalizi Mema na Furaha njema siku ya Tukio.
Peace!!!!
Haahah unanichekesha hance,si ndio watajuana vizuri zaidi ama[emoji6]Watu hamjuani ,hiyo raha ya kukutana itatoka wapi???
Dada zake josh toka marekan tutakaa wapiiiKama kawaida kama kivuruge keshafika. Sijui tunambania wapi tukikutana. Ana shida sana huyu mwanaume (japo sina uhakika na jinsia yake) mwenzenu
Rafiki twende kwenye kuparty jf partyNaona Mmasai ameshaingilia uzi tayari na mambo siyo mambo tena!![emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ahahahahaahaha naona hance kawa mrekebisha tabia jf😀😀😀😀😀😀 Sawa sikuhizi nasafisha
Weeeee tunataka vipMtakaa tutakapokaa wengine na kaka enu Josh
Pole sana mchango wako hauna faida hasi wala chanyaAnhaa...
Kwa jicho lako upo sawa, ila kwa upande wangu nlikuwa off kwa muda kidogo JF, baada ya kuona post ikabidi nikae na schedule yangu ni fix hyo trh ili niwepo.Pole sana mchango wako hauna faida hasi wala chanya
Yupi huyoYule mwingine sijui yuko busy na chuo simuoni na zile ID zake mbili