Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,455
Pamoja sana, yaani kuanzia hyo day mpaka kufunga mwaka ni, "kuweka shida pembeni na ku have Fun"Karibu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana, yaani kuanzia hyo day mpaka kufunga mwaka ni, "kuweka shida pembeni na ku have Fun"Karibu mkuu
Hahahaahha simuoni aiseeBwana yuleeee wa nakudharauuuuu
Kitakuwa kimeshika kasiLabda chuo kimembana.
Nipo lovely mum, wewe ndiyo umepotea!!
Rafiki karibu sana!Now ninerudi
@Hance kwani wakijumuika wengine Wewe unaathirika nini?Kuandika tu kunakupa shida [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usika maana yake nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Max amewakataa
Asante sana.Nishamtumia mama,
Enjoy the party.
Umelipata tayari
[emoji23][emoji23]Mie kazi yangu kutoa like
Kabisa rafiki, mimi nitatinga t-shirt yangu nyeusi ya Jf, jinsi ya blue na raba nyeusi!Rafiki twende kwenye kuparty jf party
Mi nitapiga min hiyo hutaamini chura imetokea wapiKabisa rafiki, mimi nitatinga t-shirt yangu nyeusi ya Jf, jinsi ya blue na raba nyeusi!
[emoji23][emoji23][emoji23]Mi nitapiga min hiyo hutaamini chura imetokea wapi
Utaweza kunywa mbege?Twende wote
Kama wotePatakuwepo na chura?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama wote
Inaweza tua helicopter hapo? Nataka kuja na chopa yanguAfrican House Lounge Kinondoni