Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inafanyika wapi hiyo pati ili wa mikoani tuanze kujipanga kufika huko itakakokuwaZitakuwepo mkuu kuna watu hawatumii kinywaji pendwa na wamechanga
Hahahahaa.. inashuka boss.
Karibu mkuu..
Kumbe mzigua una maneno mazito hvyo aiseeeItabidi iwekwe tu. Si ile kundu kundu kunduchi?
Huyo hatokwepo ni shawishi mimiTwende wote
Haya twende basi woteHuyo hatokwepo ni shawishi mimi
Utanipa maelekezo mana sijaufwatilia nachunguliaga wadau tuHaya twende basi wote
Maelekezo ni kulipia elf 30 ambayo ni kiingilioUtanipa maelekezo mana sijaufwatilia nachunguliaga wadau tu
Umetosheka na chura moja sioChura si ulishanipatia tayari shangazi? Sitaki tena mwingine mie!!