Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Na asirudi tena, lile swali ni dogo, ila lina akili kuliko alichoandika.Hatarudi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na asirudi tena, lile swali ni dogo, ila lina akili kuliko alichoandika.Hatarudi tena
Kwan kanji aligawa unga kwa kila shabiki?? Maana hizi akili za chid Benz kabisa Mara kafanya collabo na tupac Mara na jay z..Yanga ilipotwaa Kombe la Club Bingwa Africa Mashariki na Kati kwenye Ardhi ya Ugenini wakati huo mpira unapigwa haswa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kombe lolote iliyowahi kuchukua Mikia kwenye Ardhi ya ugenini ni Mapinduzi Cup tuu.Kwan kanji aligawa unga kwa kila shabiki?? Maana hizi akili za chid Benz kabisa Mara kafanya collabo na tupac Mara na jay z..
NB: madawa ya kulevya ni hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayeteseka zaidi ni kula raha tu ona ligi kuu kawaacha kwa point kibao kuna timu zimekazana kusogeza round kila kukicha pointi kunfikia yanga bado ni ndoto
[emoji23][emoji23]Poleni nyie mnaoangaika na soka la fitna na ulonzi.
Timu hazishindi mpaka mloge!
Sent using Jamii Forums mobile app
1993 fainali ilichezwa Nakivubo Uganda zidi ya Club Sport Villa,na wakarudia tena 1999 Nchini Uganda zidi ya Villa. Ni Timu pekee ya Tanzania iliyonyakua makombe mara nyingi nje ya Ardhi ya Tanzania ambapo Mikia hawajawahi kujaribu hata mara moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upooo?Zimebaki siku chache tu Taifa liingie kwenye aibu kubwa kimichezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutakutoa wewe hiyo kafara...Ipo siku watamtoa kafara yule msema ovyo