Zimetimia siku 150 tangu kuuawa kwa Mzee Ally Kibao, Wananchi bado Tunasubiri Majibu ya Uchunguzi wa kifo chake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426


Huu hapa ndio Ujumbe wa Rais wa Tanzania baada ya kushtushwa mno na kitendo hicho



Tungali tunasubiri vyombo vyetu Shupavu kutuletea Majibu na labda Majina ya Watekaji wake.



Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho yake, Amina
 
Vyombo la uchunguzi vimekodiwa kupikia wali nazi kwenye uchaguzi na chama cha kipaguzi!
 
Kufanya uzinzi na mke wa mtu ni jambo baya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…