pixel
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 1,630
- 406
ila tuseme ukweli,LOWASA anatisha huko CCM wapinzani wake ni kama wameshakata tamaa tu.Nyerere mwenyewe alitumia kura ya veto kumzuia.sasa hawa watoto waliobaki watazuia vipi wadau?Mi binafsi ananitisha sana,pesa anatoa wapi?na atarudishaje?kuhusu kuchapa kazi jamaa yupo fiti,ila hapo kwenye pesa yake lazima atuuumize tu.