"Zimwi" la Richmond bado linamtesa Edward Lowassa na mbio za urais

ila tuseme ukweli,LOWASA anatisha huko CCM wapinzani wake ni kama wameshakata tamaa tu.Nyerere mwenyewe alitumia kura ya veto kumzuia.sasa hawa watoto waliobaki watazuia vipi wadau?Mi binafsi ananitisha sana,pesa anatoa wapi?na atarudishaje?kuhusu kuchapa kazi jamaa yupo fiti,ila hapo kwenye pesa yake lazima atuuumize tu.
 
huyu lowasa alishitakiwa na baba yake mwenyewe kwa mwalimu nyerere kuwa anamiliki assests lukukui sijui kazipata wapi.....toka mda mrefu
 
watanzania huyo mtu apelekwe mahakamani si ikulu. wezi ikulu kufanya nini au mnataka akaendelee na wizi? tubadilike jamani sisi huku njombe hatutaki hata kumsikia kwakua tunaogopa kuibiwa tena
acha uongo wewe usiyeelewa ndiyo unamwogopa wenzio tuliopevuka kiakili tunamtaka awe mkuu wa nchi hii ili wezi wajisalimishe, ukitaka mtoto asife mkabidhi mchawi amlinde
 
kakojoe ulale.........nani kakudanganya ulpokua unacheza na watoto wa majrani....hivi mnafungua lini shule mbona nyingi zmeshafunguliwa....
hakuna kama lowasa totoo unaskia japo 2015 utakua ujafkia kupga kura br huyu ndye rais ajaye 2015 ukikua utasoma historia totoo...kojoa ulale kesho uwah school bus
 
kumbe cdm wameshamptsha skaha bila vkao halali...ma presdent is lowasa 2015
 
Asante kwa taarifa mkuu. katika hii ripoti sehemu iliyonivutia zaidi ni hii hapa

"Lakini Mhe. Dk. Ibrahim Msabaha (Mb), baada ya mahojiano chini ya m kiapo, akaiuma sikio Kamati Teule kuwa katika suala hilo yeye atakuwa kondoo wa kafara tu au, kwa maneno yake mwenyewe, “Bangusilo” kwa lugha ya Kizaramo. Maelezo hayo ya ziada ya Mhe. Waziri nje ya kiapo yalioana na maelezo aliyoyatoa Balozi Kazaura nje ya kiapo tarehe 30 Novemba, 2007 ambapo mara baada ya kumaliza mahojiano na Kamati Teule kwa kiapo, Balozi akatoa maelezo ya ziada kuwa Richmond ilikuwa mradi wa “Bwana Mkubwa” na “mshirika wake mkubwa kibiashara”, akimaanisha Mhe. Waziri Mkuu na Mhe. Rostam Aziz (Mb). Hii haikuwa mara ya kwanza kwa Balozi Kazaura kuuhusisha uteuzi wa Richmond Development Company LLC na mkono wa Waziri Mkuu. Mara ya kwanza ilikuwa Januari 2007 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Biashara."

Hapa Lowasa hachomoki hata akukuruke vipi
 
Swali langu je kati ya kikwete na lowassa nani mshirika wa rostam kibiashara?
 
kwani six alimtuma kufanya dili, lowasa tupa kuleee

Usijibu maswali kirahis hivyo,siyo lazima kila topic uchangie hata kama huna la kuchangia,Lowassa kwa hili alitolewa kafara na ukweli unajulikana,kwa nini kama alihusika na Richmond hajapelekwa kwa vyombo vya dola? Mahakama tu ndiyo tu inaweza kusema mnachosema
 
huyu lowasa alishitakiwa na baba yake mwenyewe kwa mwalimu nyerere kuwa anamiliki assests lukukui sijui kazipata wapi.....toka mda mrefu

Wewe hapo unaingilia maisha binafsi ya watu,tuambie wewe ni sehemu ya familia ya lowassa?au umeamua kutumika kama.....?
 
huyu lowasa alishitakiwa na baba yake mwenyewe kwa mwalimu nyerere kuwa anamiliki assests lukukui sijui kazipata wapi.....toka mda mrefu

Mnamkubali chapa kazi halafu mnauliza hela nyingi kapata wapi? Na kumshutumu kuwa lazima atakua mwizi tu!
Hahaha wabongo bwana, yani tumejengeka imani kuwa mtu tajiri lazima awe mwizi au fisadi!
Kwani haiwezekani huo uchapa kazi wake na intelligence yake ikawa ndio source ya utajiri wake?
Mnapiga tu kelele za richmond utafikiri ndio wizi pekee kuotokea hapa nchini kwetu, and in actual fact hakuwa mwenyewe na mitambo hio hio ndio inayowapa umeme leo hii!
Tulipofikia kama nchi lazima tuwe na kiongozi anayeogopeka na mchapa kazi, kagame style, na hakuna mwenye ku demand respect na induce obidience kama Lowassa! Ataiba kiasi gani nyie watanzania? Mnamsema fisadi Lowassa awaibia ili apeleke wapi mtu anamahela yake utitiri yamejaa. Anachotaka Lowassa ni kuprove kwake na nyie kuwa he can succesfully run this country na inamuuma sababu anajua uwezo anao asingependa afe kabla hajatendea haki uwezo wake aliopewa na Mungu!
Allah protect Mr President to be Lowassa! Amen!
 
huyu lowasa alishitakiwa na baba yake mwenyewe kwa mwalimu nyerere kuwa anamiliki assests lukukui sijui kazipata wapi.....toka mda mrefu

Huyo Nyerere ni Mungu mpaka iwe dhambi kutofautiana nae?
Hao wazee na fikra za ki communist ni lazima wamtilia shaka a capitalist mind like Lowassa! Halafu wote wameuliza kazipata wapi lakini mbona hawajadiriki kusema KAIBA!! Na kwa intelligensia ya kipindi cha Nyerere na Mwinyi walishindweje kufahamu anakoiba na kumshitaki vyombo husika!?
Those who don't like Lowassa will definetly respect him come the day!
 

unavyomwambia mwenzako kuwa yeye ni mvivu kufikiri unatakiwa wewe uwe una uhakika n\kama unaweza kufikiri kuliko yule unayemuita mvivu wa kufikiri

umeshindwakuambua kuwa Nyererena Lowassa walikuwa na Itikadi tofauti...

mmoja alikuwa ni wa ki socialism mwingine alikuwa na itikadi za kibepari


na socialism ndio umetufikisha hapa tulipo

ilahilo wewe hujalifikiri

ukimuuliza mtaalamu yeyote wa uchumi wa kipindi kile angekwambia kuwa hatukuwa tayari kuingia kule

ila baba wa taifa (r.i.p) alitupeleka na alimchukia kila mtu mwenye itikad tofauti na socialism

so lowassa alichukiwa sababu ya itikadi zake tu
 

wapambe wa lowasa mnatia huruma! hivi ni hivyo vipesa vya wizi anavyoagawa ndo vinawatoa fahamu?
 
Kitakacho muwezesha si sifa bali ni pesa na akiingia madarakani atahakikisha zinarudi hata hizi anazotoa kwenye harambee chamsingi ni kuelimisha jamii tumkatae katakata kama alivyo mkataa mwalimu jkn
 
huyu ni kumtupa chini sasa akichapa kazi halafu akakuibia faida ni ipi?
 
huyu ni kumtupa chini sasa akichapa kazi halafu akakuibia faida ni ipi?

kura yangu hapati,ila ana watu wengi ambao ni kazi sana kuwabadilisha pia ccm hata jiwe litapewa kura.tunaowategemea nao hawaishi kugombana na wanashindwa kuunda upinzani unao akisi taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…