Zinaa ni chanzo cha umasikini, vijana acheni zinaa

Watu wamefungwa kwenye eneo hili, wengine familia zao zinaishi maisha magumu kwa kuendekeza uzinzi, wengine ndio hao wanafanya kazi ila pesa zinapotelea kwenye uzinzi/uasherati.
Ukimwambia mtu amwamini Yesu aweze kumsaidia kutoka kwenye shimo hilo anaona wewe hujui mambo, acha waendelee kuteketea.
 
Mkuu ungekujua tuliooa tunavyoteswa ndani kuhusu kupewa tendo la ndoa.....mf mimi my wife now ni almost 1 month sijala mzigo...it means kukosa kuwa na kicheche nje nisingetoboa.....

Yaani huo Mwezi mmoja anakunyima au Hujaiomba? Mm nikajua Ukishaoa unatunukiwa tu hata kama unaumwa.
 
Zinaa imenitafuna sana na kuua baadhi ya vipawa vyangu spiritual saizi ata nikipewa nafasi ya kuomba au kuhubiri kanisani nakosa confidence naongea uku natetemeka.

Nashukuru na nazidi kumuomba Mungu azidi kunitoa katika kifungu hiki nilifikia stage ya kulala na wanawake watatu kwa siku ndo nalizika 🥲

Vijana wenzangu tuacheni zinaa TUOENI
 
Hivi Ni kweli mkuu ukiwa ujalala na wanawake unakuwa high spiritualit
 
🙄🙄Sasa ingekua hivyo wengi mambo yangekua sio mswano. Au umasikini ni Mpana sana.
 
Ni hivi, ukiwa kijana unajitafuta hutakiwi kuwa na demu kabisa. Wewe kazi yako ni kutafuta pesa tu lakini unatenga bajeti labda elfu kumi ya kwenda kugonga demu kwenye danguro mara moja kwa mwezi baafa ya hapo unaendelea na mishe zako, hakuna mambo ya bebi nimekumiss nitumie vocha!
 
mpira ukipasuka ndio utajua tafuta mke oa
 
Kwani huoutajiri utaenda nao wapi? Vijana kufa kupo msisahau kuishi Kwa kuifikilia kesho.
 
Watatu kwa siku 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…