Zinaa ni chanzo cha umasikini, vijana acheni zinaa

Zinaa ni chanzo cha umasikini, vijana acheni zinaa

Hahahha lakini si Ili enjoy, Papuchi Yao, Life is all about give and take
Nilienjoy ila walinimaliza sana aisee mpaka Kuna muda Nawaza kuwa hazikuwa akili zangu kwasababu mimi mtaani watu wanajua kama ni bahili mno...lodge 20000...bodaboda 3000...chocolate 4000,chipsi 3000,nyama choma 3000...asante kwa game 20000 sasa hao walikuwa watatu fikiria kwa wiki nikitumia kiasi gani.Halafu Kuna ile anakuambia baby naomba 30000 ninashida nayo
 
Ni kweli kuna ufujaji wa hela kwa mbususu, sasa bila kutoa hela utapata wapi mbususu ya bure? Kuoa nako kuna gharama zake, mke naye atataka umpe kila siku, usipompa atanuna na kususa kutoa utamu huo! We sema matumizi yasiwe makubwa sana kwa ajili ya mbususu
 
Ukitoa elfu kumi kwa siku tano ili kupata mbunye utateketeza elfu hamsini ambayo ni bati mbili au tofali kadhaa za kujenga. Kama huna mke mbunye si za kudekeza sana zinafilisi
 
KIla kitu kwa kiasi ukishazidisha unaharibu, vijana wengi wamezama kwenye zinaa, pombe na kamari. Yahitaji nguvu ya ziada na utayari kujinasua maana kila siku pisi zinazidi kuongezeka mjini. Acha nifumbe macho
 
Back
Top Bottom