😀😀😀😀😀Hakuna ukweli, kwasababu zimemwagwa hazijaingizwa ndani.
SIJUI KESHO.
Watoto hawatakiwi kupata elimu ya uzazi?
asante dada rubii kwa kunijibiaWatoto hawatakiwi kupata elimu ya uzazi?
asante sana ndugu. Jibu lako nimeelewa vyema. barikiwashahawa ni muunganiko WA vitu vingi ikiwemo na manii (sperm) au mbegu za kiume... sasa shahawa zinapomwagwa kwenye uke(mara nyingi kwenye vulva) mbegu za kiume zinasafiri kwenda kwenye sehemu za ndani za uzazi na inaweza ikatokea kontent nyingine za shahawa zikamwagika.. Hakuna mahusiano na kushindwa kuzalisha.. na Mara nyingi utokana na mikao unayokaa baada ya kujamiiiana.... Ukikojorewa ndani afu ukichchumaa lazima uji umwagike
"napambana na yangu"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapendwa salaam.
Katika maongezi ya kawaida niliwahi msikia mtu akisema kuwa kikawaida shahawa zinapomwagwa ukeni hazitakiwi kushuka/kuchuruzika (kutoka ukeni).
Lakini endapo mwanaume anapomwaga ukeni kisha shahawa zikachuruzika kutoka nje ya uke, hiyo siyo kawaida. Ni ishara kuwa hizo shahawa hazina joto na hazina nguvu ya kutungisha mimba. Hivyo haziwezi kutungisha mimba !! Jamani hili lina ukweli wowote?
Naombeni mnifahamishe wandugu. Ahsanteni
kwahiyo kwa mwanamke mwenye uke mdogo na akakaa mikao inayoruhusu ziendelee kubaki, hazitatoka nje (kuchuruzika) kabisa hata baada ya game? if yes, so huwa zinaenda wapi ama zinayeyukia wapi?Huwa zinamwagwa kwenye vulva then from there zinaendelea zenyewe na safari kupitia kwenye cervix. Sasa kama una bwawa na bado unakaa mikao isiyoruhusu ziendelee kubaki kwanini zisimwagike?
Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
HahahahahaKama ni hivi basi Demu wangu kuja Kuzaa ni Majaliwa ila siyo Kassim.
From what i know ni kuwa ili zisichuruzike, baada ya kuDO kuna namna/ mkao unatakiwa kukaa otherwise zitachuruzika nje. Pia ile fluid (semen) huwa inadissolve na kuwa maji maji kama haya ya kawaida.kwahiyo kwa mwanamke mwenye uke mdogo na akakaa mikao inayoruhusu ziendelee kubaki, hazitatoka nje (kuchuruzika) kabisa hata baada ya game? if yes, so huwa zinaenda wapi ama zinayeyukia wapi?
Cha muhimu nilitaka tu kufahamu kama kuna uhusiano kati ya manii kuchuruzika nje ya uke na uwezo wa kutungisha mimba. asante
Elimu ya uzazi pia inatolewa kulingana na umriWatoto hawatakiwi kupata elimu ya uzazi?
Ukiwa kwenye siku zako. Na mimi nikipiga puli japo sipigagi Inna anajua.Wapendwa salaam.
Katika maongezi ya kawaida niliwahi msikia mtu akisema kuwa kikawaida shahawa zinapomwagwa ukeni hazitakiwi kushuka/kuchuruzika (kutoka ukeni).
Lakini endapo mwanaume anapomwaga ukeni kisha shahawa zikachuruzika kutoka nje ya uke, hiyo siyo kawaida. Ni ishara kuwa hizo shahawa hazina joto na hazina nguvu ya kutungisha mimba. Hivyo haziwezi kutungisha mimba !! Jamani hili lina ukweli wowote?
Naombeni mnifahamishe wandugu. Ahsanteni
asanteeee sana kaka angu. nimekupata uzuri kabisa. barikiwa mpendwaFrom what i know ni kuwa ili zisichuruzike, baada ya kuDO kuna namna/ mkao unatakiwa kukaa otherwise zitachuruzika nje. Pia ile fluid (semen) huwa inadissolve na kuwa maji maji kama haya ya kawaida.
Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??