Zinapatikana wapi mashine za kutengeneza mkaa wa kisasa?

Zinapatikana wapi mashine za kutengeneza mkaa wa kisasa?

Naomba kujua zinakopatikana mashine za kutengenezea mkaa wa kisasa.

Kwa sasa ipo moja makomgo juu inauwezo wa kuzalisha gunia 2 kwa siku. ni ndogo ya mkono bei ni laki na ishirini. nipigie uje uione 0758 308193
 
Back
Top Bottom