O Ommylady Member Joined Dec 3, 2013 Posts 23 Reaction score 4 Jan 30, 2014 #1 Naomba kujua zinakopatikana mashine za kutengenezea mkaa wa kisasa.
Biashara2000 JF-Expert Member Joined Nov 9, 2013 Posts 649 Reaction score 547 May 19, 2015 #2 Ommylady said: Naomba kujua zinakopatikana mashine za kutengenezea mkaa wa kisasa. Click to expand... Kwa sasa ipo moja makomgo juu inauwezo wa kuzalisha gunia 2 kwa siku. ni ndogo ya mkono bei ni laki na ishirini. nipigie uje uione 0758 308193
Ommylady said: Naomba kujua zinakopatikana mashine za kutengenezea mkaa wa kisasa. Click to expand... Kwa sasa ipo moja makomgo juu inauwezo wa kuzalisha gunia 2 kwa siku. ni ndogo ya mkono bei ni laki na ishirini. nipigie uje uione 0758 308193
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 May 24, 2015 #3 mkaa wa kisasa ndio upoje huo?