Tetesi: Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi

Jaji kuwapa watuhumiwa dhamana ni jukumu la jaji kulingana na strength ya wakili wa watuhumiwa na weakness ya mwendesa mashtaka wa serikali. Kama serikali haikuridhika na uamuzi, inakata rufaa. Suala watuhumiwa kuruka bond, ni kosa waliowadhamini - WAKAMATWE.

Jaji kuwa na tuhuma ya uraia haimfanyi Jaji kujiuzuru. Ni suala la uhamiaji kuthibitisha na hatua kuchukuliwa. Suala la Escrow, walikuwa wengi wakiwemo majaji, maaskofu, wanikulu, mawaziri, wabunge na hata wana usalama. Kwa nini awe Mujulizi peke yake na kwa nini sasa? Kama hela ilikuwa chafu mbona mwenye hela Rugemalira bado yuko huru?

Majaji kukosa sifa ni suala la kikatiba na huchunguzwa na tume ya majaji wa jumuia ya madola.

Nami msiniulize chanzo: Nasikia Mujulizi amejiuzuru kwa sababu anashinikizwa kupindisha sheria huko aliko?! Jaji Msuya anatoka kanda mbaya. Mecky Sadiki amejengewa mazingira magumu kuuongoza mkoa wa Kilimanjaro.
 
Hivi halmashauri ya jiji na manispaa zilikuwa wapi wakati RC akichota hizo hela????????? wacheni majungu ya kitoto
 
Haya tupe ukweli mtume peterooooo basi
 

Kuna ukweli kwa 95%
Sadiki amelazimishwa kutokana na kushirikiana na wapinzani
Na huyu mama kweli ni mgonjwa but huyu mwingine sijui kwa nini!
 
Aloysius "kibuuka" Mujulizi. Kwa hiyo na maamuzi yote ya kesi km ni kweli waathirika wakate rufaa. Ila hilo jina la kati??!
 
Could you translate what you are trying to say, please?
 
M
Lisemwalo lipo! Mind we do not always work with evidence in ethical issues. Ukimuona mtu ana mali ya bilioni nyingi for example, lakini mshahara wake ni laki mbili kwa mwezi na hana biashara inayojulikana, tunaweka ????????
Bona bashite now ni bilionea mtoto na haguswi
Sadiki kilichomponza ni kushirikiana na wapinzani hao wengine ndiyo sijui
 
kuwe na ukweli au la, cha msingi tunawashukuru kwa kulitumikia taifa lao kwa uzalendo mkubwa, sasa tunawatakia mapumziko mema ktk maisha mapya.
tatizo ni kwa wale ambao hawaangalii umri wao, wanataka kuifia kazini!!!!
 
Mujuluzi anafahamika alipiga hela za escrow, na bado kuna jaji mwingine pia, naye aachie ngazi. Lakini cha ajabu imechukua muda sana kuachia ngazi.zaidi ya miaka miwili.
 
...hebu soma post [HASHTAG]#171[/HASHTAG] ya Dr Akili tuendeleze mjadala,
..kwa lengo la kujifunza kwa faida ya wengi!
 
Watoswe nyang'au hawa. JPM funga jela wahuni hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…