Tetesi: Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi

wananchi na haswa baadhi ya watumishi wa kitanzania ni wanafiki na wapiga majungu hatari sana!!

majungu na unafiki ni jambo hatari sana ktk utendaji wa kazi. Serikali kupitia wizara husika komesheni tabia hizo kwani vitendo hivyo vikiachiwa vita waumiza wengine wasio na hati.

acheni majungu na fitina makazini!!

majumgu na fitina havina nafasi ktk awamu hii ya 5!!!

wafichueni wafitini na wapiga majungu kwani watu hao ndio kikwazo cha vfanisi kazini.
 
Smear campaign at work
 
Hii tabia ya kutusingizia wazawa wa Kagera kutokuwa raia muache mara moja. Kupakana na nchi nyingi sio sababu ya kutushuku na kutuzushia.

Ni kweli mnaonewa sana, NA sababu kubwa ni elimu yenu NA pia maendeleo yetu.

Lakini kosa moja kubwa sana mlilikuwa nalo ni kutokuwa NA imani NA nchi yenu, you always favor Uganda or Rwanda than your own country, NA mnapendeleana ndio maana wengi wanamiona vibaya
 
Try kupunguza povi
 
Katika utendaji wa kimahakama,kila Jaji au Hakimu husemwa kwa namna yake kwakuwa hutoa hukumu au uamuzi unaompa ushindi mmoja. Kusemwa ni sehemu ya maisha ya kimahakama kwakuwa pande za kesi haziridhiki kwa pamoja.
 
Bashite anaenda kufichwa Mkoani Kilimanjaro, mujiandae
 
Au anataka kututoa kwenye reli ya kula rambi rambi
 
unachekesha kweli...umeandika Tetesi
kisha habari unatumia maneno inasemekana
hapo hapo unasema habari za uhakika chanzo cha ndani

chanzo cha ndani ya wapi?kilimanjaro mahakamn au wapi?

inasemekana inamansha haina uhakika so vipi uje uwandike tena ni habari za uhakika??
 
Naona kama ulichoandika ni kutaka kujifurahisha na kutufurahisha tu, kwanini tukuamini?
 
Hao majaji wana makandokando mengi yakiwemo uliyoyaeleza mtoa mada na yanashawishi. Lakini bado sijaridhika kwa huyu RC nguli na muadilifu Meck Sadik. Naomba uendelee kupekenyua uje na sabb za uhakika za kujiuzuru kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…