Tetesi: Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi

Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro

Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.

2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.

Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.

3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.

Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.

TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Acha kuchafua watu kwenye mitandao tena kwa uwongo uliokithiri. Judge Msuya ni mgonjwa muda mrefu sana sasa, hawezi kuendelea na kazi. Kwanza mwaka huu alikuwa anastaafu kwa sababu anatimiza miaka 60.

Huwezi kumwita mtu Judge wa hovyo eti kwa kusoma Uamuzi wake mmoja. U have to stop these malicious propagandas.

Hao wengine hebu prove hizo allegations!
 
Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro

Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.

2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.

Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.

3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.

Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.

TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Vipi mkuu una taarifa za ndani za yule aliyekuwa waziri wa ulinzi akanunua kivuko kibovu,akauza nyumba za serikali na kuisababishia serikali hasara baada ya kukamata meli ya wavuvi?
 
Hao majaji wana makandokando mengi yakiwemo uliyoyaeleza mtoa mada na yanashawishi. Lakini bado sijaridhika kwa huyu RC nguli na muadilifu Meck Sadik. Naomba uendelee kupekenyua uje na sabb za uhakika za kujiuzuru kwake.
Bashite atakuwa amemchongea mambo mengi ya uongo na kweli kwa magu. Watu wenye uwezo mdogo wanafanya kazi kwa fitnah.
 
Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro

Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.

2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.

Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.

3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.

Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.

TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Hisia tu zisizo na uthibitisho.......sijui kama tutafika na ndo JF siku hizi hadhi yake imeshuka saana!!
 
Mkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.

Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.
Afadhali umemwambia, watu wanaondika hovyo hovyo namna hii ni kunyongwa tu, wazushi hawa.
 
Mkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.

Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.
Umenena kweli kabisa mkuu!!
Watu wanaishi kwa uzushi tu usiokuwa na uhakika,aisee!!!
 
Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro

Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.

2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.

Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.

3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.

Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.

TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Mnaitwaje vile!!! Sijui nini mitandaoni!!! Propaganda sijui nini vile nadhani mnajijua nakazi zenu!!! Ila kila mtu nakazi yake.
 
Cochabamba:
hebu fafanua kidogo hapa;
Hizo fedha zilizofujwa zilitolewa na Serikali ama zilitolewa kama Msaada?
-Ameshitakiwa kama Mkuu wa Mkoa ama ameshitakiwa kama Said Meck Sadiki?
-Ilikuaje hizo fedha akazifuja yeye ikiwa Mkuu wa Mkoa si Afisa Masuuli hivyo haidhinishi Mafungu yoyote?
Na je kesi hiyo inamkabili yeye tu ama kuna wengine?
 
Na viwanja vya mabwepande watu wamegawana
 
Mtu mpaka anakuwa jaji kumbe siyo raia! Kweli Tanzania tuko watupu. Maadui Wa nchi yetu wanasherehekea tu.
Ndugu yangu uwe makini sana pindi unapotoa kauri usokuwa na ithibati nayo.
Je, unafahamu na kujua ya kuwa Nchi majirani zetu hapo nyuma walikabiliwa na vuguvugu na uvunjifu wa amani huko makwao kiasi cha kupelekea kuzihama nchi zao?
Binafsi kipindi naanza shule ya msingi mwaka1990 nilisajiriwa na watoto wengi ambao wazazi wao waliishi Nchini mwetu kama wakimbizi.
Baadhi yao muda huu ni wanajeshi hapa nchini na wapo ambao wameajiriwa kama watumishi wa umma kwenye taasisi mbalimbali.

Baada ya utulivu kurejea huko makwao, wazazi na baadhi ya wanafamilia walirudi huko na kupewa nyadhifa serikalini kisha wakarudi kuendelea na kazi zao huku "kwa lengo na mikakati mahsusi"

Ngoja nikomee hapo, ila idara maalum inaweza kwenda mbele zaidi kuwabaini, make tusijiridhishe kiasi hicho kwamba nchi ipo salama kumbe kuna majirani wanatudukua na kutung'ong'a...
 
Kama Taifa Limefikia Kuwa Na Watu Kama Mleta Mada, Taifa Hili Tutasubiri Sanaa, Yaani Nadiriki Kusema Huu Ni Uongo Uliokubuhu, Mahakama Ya Mafisadi Imekosa Watu Halafu Unaleta Ngonjera Hapa, Kwann Wasipelekwe Mahakamani Kama Usemayo Ni Kweli,? Wanadamu Maisha Ni Mapito Tu ,ipo Siku Tutatoa Hesabu Zetu.
 
Back
Top Bottom