Tetesi: Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi

T
Baba bashite atabaki na walamba viatu vyake tu, lakini wenye akili zao timamu hawawezi kukaa naye kwenye uongozi wake
ema nyongo lakini ukweli utabaki kuwa ukweli wameondoka. Hata hivyo kuna vijana wengi wamesoma na hawana kazi watajaza nafasi zao
 
Kuna mtu mwenye kesi mbaya kwasasa zaid ya Bashite? Huyu ni mwizi wa vyeti, mvamizi wa vyombo vya habari, mshirika mkubwa wa wauza madawa.
Kwa mnavyopenda sifa mngesubiri hata wajiuzulu wakati inajulikana kuna mbumbumbu wengi mnaosubiri taarifa za kutumbua ili mshangilie?
 
ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia
Hello ndugu, ID inakuwaje feki? Ninachojua mimi kwenye media industry watu wengi humu wanatumia unverified/undisclosed au pen names, which is acceptable. Sasa ufeki unatoka wapi? Nadhani ume-overreact.
 
Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro

Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.

2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.

Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.

3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.

Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.

TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Acha upuuzi MTU anaiba hukamatwa Na kustakiwa,Na utaratibu wa kawaida tu MTU huyo akiomba kuacha kazi hakubaliwi maana atapewa benefit zake,mwivi hufukuzwa Na kushtakiwa,katafute upya habari
 
Sasa kama ni hivyo kwa nini hawakukataliwa kuachia ngazi ili badala yake wakamatwe, Washitakiwe ili sheria ichukue mkondo wake?
Yaani kwa mfano huyo jaji anayesemwa sio mtanzania, inakuwaje aachwe eti ajiuzuru wakati si raia wa Tanzania? Kudanganya uraia ni kosa la jinai kwanini asikamatwe na kushtakiwa kwa kosa hilo linalofanana na uhaini? Kama taarifa hiyo ni ya kweli basi kuna tatizo kwenye system.
 
Mkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.

Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.
Eti ana chanzo cha ndani ambacho hathubutu hata kukitaja.
Na kwa hao majaji kwa taarifa yake kutoa hukumu yenye makosa sio dhambi kisheria, ndio maana mahakama ya rufani ipo..(kurekebisha makosa na ziko rufani lukuki), na pili pesa chafu ya ruge wa escrow,?? Hivi ruge alishashitakiwa kwa hilo kosa la kutoa rushwa wapi?
Yaani jaji hawezi pigwa chini kwa kosa la kupewa rushwa na ruge wakati ruge bado anadunda mtaani bila hata arrsst warrant wala charge sheet.
Kumpiga chini jaji kwa makosa ya maadili ya kikazi ni jambo refu ambalo huwatoa jasho hata marais.
Mletata tetesi ajipange afu arudi upya na vitu vyenye ushahidi.
 
Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro

Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.

2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.

Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.

3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.

Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.

TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
ASANTE KWA TUHUMA MAANA SIO TAARIFA
 
Eti Meck Sadil unadhani atashughulikiwa? Hivi Mkuu ni kweli ufisadi wooooote uliofanyika ndani ya Tanzania ndo ashughulikiwe huyo kwa hizo Bilion 2 tu?
Bilioni 2 ni sawa na milioni elfu mbili, kwako unaona ni hela kidogo!!! Wewe utakuwa sawa na mzee vijisenti au mama tiba anayesema milioni kumi ni hela ya mboga
 
Judge Msuya ni mgonjwa muda mrefu sana sasa, hawezi kuendelea na kazi. Kwanza mwaka huu alikuwa anastaafu kwa sababu anatimiza miaka 60.

Last I checked, if you resign you lose your lifetime retirement benefits. Hakuna mtu ataekubali kupoteza mafao yake ilhali mwaka huu huu anafikisha miaka ya ku retire. It doesn't compute.

Daudi Balali aliugua mpaka akafa na hakulazimika hata siku moja kujiuzulu kwa sababu eti unaumwa, japo alikuwa anai run BOT akiwa kitandani Boston, Massachussetts, hoi mahututi, na mwisho wa siku walipewa mafao ya marehemu, kwa sababu alifia kwenye ajira.

Na kuhusu controversial judgments alizotoa Jaji Msuya kwa prosecuted drug cartels, kama unadhani ilikuwa ni kesi moja basi hukufuatilia kwa karibu her tumultous career.
 
Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro

Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.

2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.

Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.

3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.

Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.

TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
hiyo kali
 
bashite anazo kashfa nyingi mbona pccb hawamfwati?????
necta kimyaaa.
 
Mkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.

Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.
Umenena.Hata kama tuna haki kuzusha but not to that extent
 
Najua ukweli unauma lakini huo ndio ukweli, mpe pole kwa kuumwa.
Mimi hawa member waliojiunga muda mrefu lakini ukiangalia idadi ya posts hapa Jukwaani ni chache! Huwa nawatilia mashaka kuwa uwenda ni mamajusi watafuta taarifa za kuzaliwa mfalume mpya! Na wakati mwingine huwa hawaibuki na vitu vya kitoto. Mara chache sana hawa mamajusi ku'bugi' katika post zao.
 
Eti Meck Sadil unadhani atashughulikiwa? Hivi Mkuu ni kweli ufisadi wooooote uliofanyika ndani ya Tanzania ndo ashughulikiwe huyo kwa hizo Bilion 2 tu?
Sio bil mbili tu sema 'Tubilioni tuwili tu'
 
Back
Top Bottom