Nipo aseme baba yangu, na kunywa ka banana hapa..... Mzima? habari za Jumamosi... Weekend Njema Asnteee sana ingawa najua roho inakuuma Arabella kushindwa ila ndi ushindani babaaangu
Dah Ciello, una majibu mazuri lkn nitaongea na mtangazaji atoe namba ya ku2mia kuuliza maswali ya hapo kwa papo.
Wewe ee ni mjanjaa aiseee unakunywa kilicho boraaaa kabisa... Kimeshinda tuzo ya monde selection iyo kitu... Mi, nataka nikutafute kitimot* na siku nyingi sijala babaaangu!Shwari aisee, mi mwenyewe niko zangu hapa makirikiri bar nadodosha ndovu mojamoja
poll itakuwepo kwenye kumsaka miss chit-chat wa mwaka 2013 amabzo zitawajumuisha ma-miss wa miezi yote,hizi za kila miezi ya itabaki kama kawa kama dawa
na usijaribu kuanza, yanogaje sasa?? Ni mautamu pande zote!hahahahahah, sijawahi jaribu hyo,ila wawezanipa maufundi!
Wewe ee ni mjanjaa aiseee unakunywa kilicho boraaaa kabisa... Kimeshinda tuzo ya monde selection iyo kitu... Mi, nataka nikutafute kitimot* na siku nyingi sijala babaaangu!
na usijaribu kuanza, yanogaje sasa?? Ni mautamu pande zote!
Basi mi nitakutafuta aisee, hiyo kitu naithamini sanaaaaaa ....... Iyo ishushie na Guinness lol! Huto achaAisee umetaja mdudu, huku ndo pande zake aisee, ukipata muda we nistue nikupeleke inakopatikana mbuzi katoliki ya ukweli aisee, huwa tunachanganyika na waUAMUSHO kibaao aisee
nitakugonga vichwa.......BTW hongera sana miss CC umestaili tuzo asante kwa majibu mazuri
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwako wewe Ciello kwa kushiriki kikamilifu katika Zinduna Talk Show. maswali uliyajibu kwa ukamilifu na kwa ustaarabu wa hali ya juu, ulionyesha ushirikiano mkubwa ambao sikuutegemea.
Napenda pia kutoa shukrani zangu za dhari kwa washiriki wote wa talk show, bila kuwasahau wasaidizi wangu cacico, gfsonwin, snowhite, Young Master, Bujibuji, kwa ushirikiano wao wakati wa kuendesha hiki kipindi.
Kwa sasa napitia talk show hii ili kufanya tathmini kujua ni maeneo gani ya kufanyia marekebisho.....
Piqa nitafurahi kupokea maoni ya wadau kuhusiana na namna ya kuendesha kipindi hiki.