Pole sana, ni mapenzi ya Mungu, na kazi yake haina makosa.
je ni jambo gani muhmu maishani ulijifunza baada ya kifo cha mama.
Hapana sijawahi tendwa,nilikuwa na mtu tulitofautiana mitazamo ya maisha so tukabreakup peaceful,at the moment niko kwenye dillema coz kuna mtu ameonyesha interest bt bado sijawa tayari.
No.11:kwasasa sina particular style.
Hapana sijawahi tendwa,nilikuwa na mtu tulitofautiana mitazamo ya maisha so tukabreakup peaceful,at the moment niko kwenye dillema coz kuna mtu ameonyesha interest bt bado sijawa tayari.
Taratibu Zinduna! Naona kama maswali haya ya katikati yatapotea! Tu'deal' na haya ya mwanzo na kuhitaji ufafanuzi kisha tufungue mawasiliano kwa maswali awamu ya pili! Page zikiongezeka sana, haya maswali ya katikati hayataonekana!
No.13:Nilipomaliza kidato cha sita, nilikwenda kujitolea kufundisha physics na mathematics shule moja vijijini,walikuwa hawana walimu na mazingira ya huko yalikuwa yanakatisha tamaa,ila nilijitoa kwa miezi 4,walikuwa wananipa malazi, chakula na posho ya nauli tu.
Je uliwahi ku - du kwenye huo mchezo wa baba na mama, na je ilikuwa ni ile ya kijuu juu bila kuvua nguo au ile ya kiukweliii?
No.15:Zinduna talk Show iko poa ila ilitakiwa usiwaruhusu washiriki kuuliza maswali,mpaka mgeni atakapomaliza kuyajibu maswal yako host yote!