Zinduna Talk Show: Exclusive interview na Ciello kuhusu ushindi wake wa Miss chit chat wa jana~~~~!

Zinduna Talk Show: Exclusive interview na Ciello kuhusu ushindi wake wa Miss chit chat wa jana~~~~!

Pole sana, ni mapenzi ya Mungu, na kazi yake haina makosa.
je ni jambo gani muhmu maishani ulijifunza baada ya kifo cha mama.

Taratibu Zinduna! Naona kama maswali haya ya katikati yatapotea! Tu'deal' na haya ya mwanzo na kuhitaji ufafanuzi kisha tufungue mawasiliano kwa maswali awamu ya pili! Page zikiongezeka sana, haya maswali ya katikati hayataonekana!
 
Last edited by a moderator:
Hapana sijawahi tendwa,nilikuwa na mtu tulitofautiana mitazamo ya maisha so tukabreakup peaceful,at the moment niko kwenye dillema coz kuna mtu ameonyesha interest bt bado sijawa tayari.

huyo mtu ni member hapa jf? Je ukitongozwa na Ritz1 utakubali?, kwanini?
 
Last edited by a moderator:
Naomba wauliza maswali tumpe nafasi mshindi wetu wa Miss Chit Chat wa mwezi wa Novemba Ciello apate mapumziko kidogo kwa kunywa maji.

Na sasa ni commercial break.
faithful%20condom2.jpg
 
Last edited by a moderator:
No.13:Nilipomaliza kidato cha sita, nilikwenda kujitolea kufundisha physics na mathematics shule moja vijijini,walikuwa hawana walimu na mazingira ya huko yalikuwa yanakatisha tamaa,ila nilijitoa kwa miezi 4,walikuwa wananipa malazi, chakula na posho ya nauli tu.
 
Hapana sijawahi tendwa,nilikuwa na mtu tulitofautiana mitazamo ya maisha so tukabreakup peaceful,at the moment niko kwenye dillema coz kuna mtu ameonyesha interest bt bado sijawa tayari.

Nakutakia kila la kheri, Inshaallah MUngu atakufunulia kama ndiye
 
Taratibu Zinduna! Naona kama maswali haya ya katikati yatapotea! Tu'deal' na haya ya mwanzo na kuhitaji ufafanuzi kisha tufungue mawasiliano kwa maswali awamu ya pili! Page zikiongezeka sana, haya maswali ya katikati hayataonekana!

Ok, lakini tunakimbizana na muda pia, ila nilitaka awe anajibu kwa ukamilifu ili kuepuka vijiswali vya nyongeza.
 
No.13:Nilipomaliza kidato cha sita, nilikwenda kujitolea kufundisha physics na mathematics shule moja vijijini,walikuwa hawana walimu na mazingira ya huko yalikuwa yanakatisha tamaa,ila nilijitoa kwa miezi 4,walikuwa wananipa malazi, chakula na posho ya nauli tu.

Hongera sana kwa hilo.
 
No.14:nikipata wasaa wakuzungumza na Mungi,nitaongea naye kuhusu mustakabali wa taifa letu na namna gani twaweza kuwashawishi watanzania kuchagua mabadiliko ifikapo 2015.
 
No.15:Zinduna talk Show iko poa ila ilitakiwa usiwaruhusu washiriki kuuliza maswali,mpaka mgeni atakapomaliza kuyajibu maswal yako host yote!
 
Last edited by a moderator:
Sikuwahi ku-do kwani tulikuwa twacheza na anko angu aliyenizid 4years,ila yeye aliwahi ku-do na nikamshtakia nyumbani akaadhibiwa.
Je uliwahi ku - du kwenye huo mchezo wa baba na mama, na je ilikuwa ni ile ya kijuu juu bila kuvua nguo au ile ya kiukweliii?
 
No.15:Zinduna talk Show iko poa ila ilitakiwa usiwaruhusu washiriki kuuliza maswali,mpaka mgeni atakapomaliza kuyajibu maswal yako host yote!

Ok, lakini kuna wengine wana haraka ya kuwahi Viroba, ni bora wapewe nafasi ya kuuliza kabla ya kumeza viroba, la sivyo wakishapata viroba watakuja hapa na maswali ya ajabu utakimbia.

Kuna maswali ya nyongeza kwenye kurasa za nyuma, yaperuzi utuwekee majibu hapa
 
Back
Top Bottom