Siko comfortable kumtaja,siwezi kukumbushia ,its in the past, we were there and we did wat we did!
Oyaa missie acha longolongo bana. Mbona hujajibu ulijisikiaje? Erickb52 hebu kuja pande hii.
Swali la mwisho kabisa.... Kwanini umegoma kukaguliwa na mimi babu wa wajukuu? Hupendi kwenda mbinguni? Haya hebu kam zis wei....
Napenda kusoma, music na kusafiri.
No.8:Sijaolewa na sina mtoto.Kuhusu kuwa na mpenzi niseme tu its complicated!
Ciello my dearest hongera kwa kuwa Miss CC wa mwezi November..ila kabla sijaondoka naomba nikuswalike kamoko..ni hivi..'Unapambana vipi na haka kavita kakitaifa kuhusu HIV?...dadavua please??
unapenda kusoma vitabu gani? unapendelea music gani?
Hahahahahah maswal yako duh!we njoo nikague mie sina tabu.
Vinavyohusu maswala ya uchumi,siasa na novels.4 music napenda rhumba,nigerian music na bongofleva
Ciello
Samahani sana wapenzi wa JF chit chat, kwa ukimya wa muda mrefu. Leo mjengoni nipo na Ciello, mshindi wetu wa Miss Chit Chat wa mwezi Novemba 2012 ,ambaye kutokana na ushindi wake huo mnono nitafanya naye Exclusive Interview ili kujua siri ya ushindi wake huo.
Ciello ameshinda kwa ushindi wa kishindo alioupata baada ya mchuano mkali ambapo alishinda kwa kura nyingi sana zipatazo 51 dhidi ya charminglady aliyepata kura 07, lara 1 aliyepata kura kura 13 na Arabela aliyepata kura 16.
Niko hapa na Kidadavuzi Mpakato changu (Lap Top) na nitapokea maswali yenu na maoni yenu kwa njia ya simu, ujumbe wa simu ya kiganjani, barua pepe (Email) na tarakishi (Fax). Line za ku-post Comments ziko wazi, Mwana JF yeyote anaweza kutumia fursa hii kumuuliza Ciello swali lolote na yeye bila shaka atayajibu maswali yenu kwa kadiri atakavyopata muda.
Kwa kuanza ninayo maswali kumi na tano ambayo ningependa kumuuliza Ciello:
1. Je umezaliwa msimu gani?
2. Hebu nipe historia yako ya hapa JF kwa kifupi, yaani ulifahamuje kuhusu JF, ulijiunga lini na ni nini kilikusukuma hadi ukajiunga na JF?
3. Je Ni kitu gani kilikusukuma hadi ukaingia katika mashindano ya Miss Chit Chat ya Novemba?
4. Je ni nini siri ya ushindi wako?
5. Unazungumzia nini kuhusu rufaa iliyokatwa na C6 akipinga ushindi wako?
6. Una ushauri gani kuhusu Miss Chit Chat?
7. Je ulishawahi kucheza mchezo wa baba na mama na kupika pika utotoni?
8. Je umeolewa? Kama umeolewa, Je una watoto wangapi, na kama hujaolewa, Je unaye wa mpenzi wa kuchombeza, na kama huna unamalizaje matamanio yako ya kujamiiana?
9. Je ni tukio gani liliwahi kukuhuzunisha sana?
10. Je ni tukio gani liliwahi kukufurahisha sana?
11. Je unapenda kuvaa nguo za aina gani?
12. Je unapenda chakula cha aina gani?
13. Je ni jambo gani umewahi kulifanya kwa faida ya nchi yako na ambalo hata ukifa litabaki kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo?
14. Je ukipata fursa ya kupata staftahi na Mungi, ni jambo gani ungependa kuzungumza naye?
15. Una ushauri gani kuhusu hiki kipindi cha Zinduna Talk Show .?
Haya nakaribisha maswali yenu wadau na hivi punde Ciello atakuja kuyajibu maswali yenu.
Karibuni sana
Well well well.....
Najua ile mijitu yenye roho mbaya kama kiatu cha Mugabe itachonga sana juu yangu na yako.
Baada ya kusema hayo hebu sasa jibu swali na mzee bashaija Bishanga hapo juu..... Kwamba unapenda staili gani kwenye kunaniliyuiwa?
Unaruhusiwa kunijibu kwenye PM kama unaogopa haya mabazazi mapenda wake za watu yatakuchora.
Hahahahahah naomba nisilijibu hilo swali!
Huhuhu....... physics... Umenikuna mama.... Ila mathematics aaah hua inanichosha sana siipendi na hata chuo ni somo ambalo nilikua na faulu kwa miujiza..... I hope mama eng hapa kumbe tuna match kabisaaa....No.13:Nilipomaliza kidato cha sita, nilikwenda kujitolea kufundisha physics na mathematics shule moja vijijini,walikuwa hawana walimu na mazingira ya huko yalikuwa yanakatisha tamaa,ila nilijitoa kwa miezi 4,walikuwa wananipa malazi, chakula na posho ya nauli tu.
Huhuhu....... physics... Umenikuna mama.... Ila mathematics aaah hua inanichosha sana siipendi na hata chuo ni somo ambalo nilikua na faulu kwa miujiza..... I hope mama eng hapa kumbe tuna match kabisaaa....