Zinduna Talk Show: Exclusive interview na Ciello kuhusu ushindi wake wa Miss chit chat wa jana~~~~!

No.9:Tukio la kuondokewa na mama yangu kipenzi (Mungu amlaze pema) zikiwa zimebaki siku 10 nimalize elimu ya msingi.Ni tukio lililoumiza moyo wangu na kuyabadili maisha yangu kwa sehemu kubwa.

Those we love don't go away,
They walk beside us every day,
Unseen, unheard, but always near,
Still loved, still missed and very dear.

We love u mamaa.....

maswali yote nahis yashaulizwa na naanza kuona majibu tuu .
 
No nilitaka kustudy mining bt nikapotezea!

Safi sana malkia wetu kwa kujibu vizuri sana maswali ya wadau. Jitahidi sana kujiepusha mtu anayeitwa Asprin huyo hafai kabisa.

Swali langu la mwisho kwako leo, Una taaluma gani bibie Ciello.
 
Last edited by a moderator:
Safi sana malkia wetu kwa kujibu vizuri sana maswali ya wadau. Jitahidi sana kujiepusha mtu anayeitwa Asprin huyo hafai kabisa.

Swali langu la mwisho kwako leo, Una taaluma gani bibie Ciello.

Khaa! Yaani hata wewe mate? Unaniharibia move yangu hadharani namna hii?

Stuka Ciello my dear. Think! Wanataka kutuharibia hawa wajukuu wa Hugo Chaves.
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma maswala ya usimamizi wa ardhi na uthamini,kwasasa nafanya kazi kama mthamini(valuer)!!
Safi sana malkia wetu kwa kujibu vizuri sana maswali ya wadau. Jitahidi sana kujiepusha mtu anayeitwa Asprin huyo hafai kabisa.

Swali langu la mwisho kwako leo, Una taaluma gani bibie Ciello.
 
Last edited by a moderator:
No.9:Tukio la kuondokewa na mama yangu kipenzi (Mungu amlaze pema) zikiwa zimebaki siku 10 nimalize elimu ya msingi.Ni tukio lililoumiza moyo wangu na kuyabadili maisha yangu kwa sehemu kubwa.

So sad miss chit chat, I know how it feels,, you lost your precious mother 10 days before examz... I can't imagine thngs you have been going through... Pole sana ciello, naomba nikufahamu please ( wana cit chat msilete majungu hapa kisa mmesikia kufahamiana as jamii forums ni zaidi ya social network mnaweza mkajikuta mmeramba kadi za ubwabwa kama masikhara)
 
Pole sana Champ Ciello. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Nafurahi kura yangu haikupotea bure. Hongera zako nyingi kwa ushindi wa kishindo/Tsunami. Hongera pia kwa kampeni team yako iliyoongozwa na Meneja wa kampeni yako Mwita Maranya

No.9:Tukio la kuondokewa na mama yangu kipenzi (Mungu amlaze pema) zikiwa zimebaki siku 10 nimalize elimu ya msingi.Ni tukio lililoumiza moyo wangu na kuyabadili maisha yangu kwa sehemu kubwa.
 
Last edited by a moderator:
Ciello hongera naona maswali ya papo kwa papo na ya nongeza umeshaulizwa
uwe na weekend njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…