moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,271
- 1,493
Zinduna naona babu anahamu ya maswali sasa naomba kukupa shukrani zangu za pekee kwa kuwa bega kwa bega na mimi katika kufanikisha show hii!
Madame B thanks na karibu kwenye awamu ya pili ya wadau kukutupia maswali usiogope kujibu crazy Qns relux kama ulivyokuwa tangu mwanzo!
Thanks sana kwa wadau wote! Niko nanyi!
Asprin muda wangu umetosha nawapa nafasi nanyi muulize maswali yenu!
Karibuni sana ndetichia Elia G Kamwela na wadau wote popote mlipo
Mama Erick a.k.a KOKUTONA karibu sana Kipipi (Miss you) bila kuwasahau moto2012 FP gfsonwin snowhite cacico Bishanga na The Boss
Kaka umeuliza karibu maswli yote!
Nyongeza, Madame B umesema kuwa una mtoto 1, je huyo mzazi mwenzako unamchukuliaje? Na akiomba game au akatumbukiza gea ya kuja kuona mtoto kisha akataka game utafanyaje?