Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52


Kaka umeuliza karibu maswli yote!

Nyongeza, Madame B umesema kuwa una mtoto 1, je huyo mzazi mwenzako unamchukuliaje? Na akiomba game au akatumbukiza gea ya kuja kuona mtoto kisha akataka game utafanyaje?
 

nasi tunakupenda saaaaaaaanaaaaaa!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

babu Asprin u ruko meen.... zatis y i lavyuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Madame B kwa kufunguka na kujibu maswali kiufasaha na wazi kabisa
Kaswali kangu ka kizushi ni vitu gani hupendi maishani mwako
Mr Rocky unantega.
Ok binafsi vitu ambavyo sivipendi maishani mwangu ni hivi:
1. Kushea mwanaume na mwanamke mwenzangu,
2. Kutongozwa Bar au Club,
3. Uzinzi, Wizi,
4. Kubituliwa,
5. Kuchukua mali ya mtu....Lol.....!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
We lov you too!

 
Last edited by a moderator:


Luv you three baby Madame B You've done a great presentation!! Much, much love!
 
Last edited by a moderator:
May The Secret Bring You Love And Joy For Your Entire Existence

nami nimefurahi kuwa ktk mahojiano haya tangu saa 4 asubuhi kwa kweli nimefurahi vya kutosha,kwa niaba ya mpenzi wangu Madame B ,napenda kutoa shukrani za dhati kwa Zinduna Erickb52 Chilli Ruttashobolwa Baba V tedo,kwa kweli sitaweza kuwataja wote ila nasema asanteni sana.

May The Secret Bring You Love And Joy For Your Entire Existence



 
Last edited by a moderator:
Kaka umeuliza karibu maswli yote!

Nyongeza, Madame B umesema kuwa una mtoto 1, je huyo mzazi mwenzako unamchukuliaje? Na akiomba game au akatumbukiza gea ya kuja kuona mtoto kisha akataka game utafanyaje?
moto2012 hilo swali nilishalijibu ila nitalirudia.
Maadam tumeachana kwa usalama na wala hatukugombana ,
Nitamfikiria.
Si unajua swaga za 6*6?
 
Last edited by a moderator:

hizi ni shukrani au ni pamoja na kuaga....
maana hii ndio mida ya kwenda kuloweka koromea na ndyofuuuu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa ladyfurahia hii talk show kaianzisha bibie Zinduna na leo nilikuwa mimi naongoza na going forward ntabaki mimi km nina nafasi.
Hii show inatuweka pamoja kama familia moja.
Ningekuhoji wewe ungeenjopia tena usingeogopa.
usikose wiki ikayo tutakuwa na mtu maarufu sana humu jukwaani.
I remain
Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…