Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

P
Mr Rocky unantega.
Ok binafsi vitu ambavyo sivipendi maishani mwangu ni hivi:
1. Kushea mwanaume na mwanamke mwenzangu,
2. Kutongozwa Bar au Club,
3. Uzinzi, Wizi,
4. Kubituliwa,
5. Kuchukua mali ya mtu....Lol.....!!!!!!!!!!!

Madame B sijakutega bana na ndo maana nikasema cha kizushi lol
Ila asante kwa majibu yako
Niongezee hapo umbeya na majungu vipi kwako maana nyie kwa hayo mpo sana
 
Last edited by a moderator:

Oyaaa mwambie a kam zis wei for ze needful...
 
Last edited by a moderator:
I have a question to you chitchat members..do u know each other??i mean in ya real Ids..cz u sound like u have met b4 & u interact even in a real life!


Wewe mtoto mr gentleman umetokea wapi huku??
Watu tunajuana kama gari na tairi, kama simba na mbogo, kama mmasai na nyama
Unakuja mbiombio kutaka kutujua?
Ukifika mahala bisha hodi usubiri kujibiwa karibu ama vinginevyo,
Kwa kuwa umekuja hapa hujasilimia na vijimaswali vyako,
Tunakuamuru katika jina la CHIT-CHAT
kuanzia sasa utakuwa unatumia lugha ya taifa na hiyo ndiyo adhabu yako.
Iwe fundisho na kwa wanafunzi wote mlioko masomoni kudhani kama hapa ni Facebook.
Na adhabu hii inaanza mara moja.
 
Last edited by a moderator:
Daah samahani Madame B, kuna hii kitu King'asti anaiita Morning Glory,Unaichukuliaje ? Ukizingatia wewe ni singo, ukiikosa siku yako inakuwaje, au unafanya jitihada gani kutimiza matakwa ya nafsi na afya yako?
 
mamaa nenda ukapumzike kidogo kabla ya kuikabili weekend ya leo
 

Attachments

  • bedd.jpg
    5.2 KB · Views: 85
Oyaaa mwambie a kam zis wei for ze needful...


Babu Asprin you have done great in today's show! As usual it wouldn't be in that flavor without you.
Thank you, and real we honor your presence.
I am awarding you 5 Star! Remember I am the guest of honor in today's show. Na pembeni yangu unayemuona ndiye Mamzalendo.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Km ingekuwa ni mechi basi Asprin angekuwa man if the match
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…