P
Madame B sijakutega bana na ndo maana nikasema cha kizushi lol
Ila asante kwa majibu yako
Niongezee hapo umbeya na majungu vipi kwako maana nyie kwa hayo mpo sana
Mr Rocky unantega.
Ok binafsi vitu ambavyo sivipendi maishani mwangu ni hivi:
1. Kushea mwanaume na mwanamke mwenzangu,
2. Kutongozwa Bar au Club,
3. Uzinzi, Wizi,
4. Kubituliwa,
5. Kuchukua mali ya mtu....Lol.....!!!!!!!!!!!
Madame B sijakutega bana na ndo maana nikasema cha kizushi lol
Ila asante kwa majibu yako
Niongezee hapo umbeya na majungu vipi kwako maana nyie kwa hayo mpo sana
Last edited by a moderator: