Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Shem leo sikufichwa kiviile!!!Nilikuwa kimya nafuatilia maswali na majibu!!
Erickb52 ulishapata dawa ya zile sehemu zilizokuwa zinajinyoosha??lol!!!

Sijapata bado na sioni dalili za kupata dawa labda km unayo teh
 
Last edited by a moderator:
na nikujuavyo wewe!! Pale lazmaaaa utarudi! Itanogaje tena?? Kwi kwi kwi !
 
Duh, Tanesco leo wamenitenda nikakosa show nzuri na tamu namna hii.
Hizi simu za mchina si mali kitu siku hizi, Hongera Madame B kwa majibu mazuri na yenye kuridhisha
 
Last edited by a moderator:
Baba V kama kuna suala lolote kuhusiana na uhusiano wetu naomba mfuate utaratibu,kwa nini mnamrusha roho mwandani wangu kama mmekufa si mseme tu?

Hakuna suala lolote kuhusu uhusiano wenu, hata sisi tunapenda muwe katika uhusiano na muendelee vizuri ila kwa kutimiza masharti na taratibu zilizowekwa, hii ni kwa faida yenu na wana chit chat wote, mkitimiza masharti hakuna atakaye wabughudhi. hujamuona The secretary alichofanya katika kuomba talaka!??
 
Last edited by a moderator:
Baba V kama kuna suala lolote kuhusiana na uhusiano wetu naomba mfuate utaratibu,kwa nini mnamrusha roho mwandani wangu kama mmekufa si mseme tu?

Hakuna suala lolote kuhusu uhusiano wenu, hata sisi tunapenda muwe katika uhusiano na muendelee vizuri ila kwa kutimiza masharti na taratibu zilizowekwa, hii ni kwa faida yenu na wana chit chat wote, mkitimiza masharti hakuna atakaye wabughudhi. hujamuona The secretary alichofanya katika kuomba talaka!??
 
Last edited by a moderator:
Shem leo sikufichwa kiviile!!!Nilikuwa kimya nafuatilia maswali na majibu!!
Erickb52 ulishapata dawa ya zile sehemu zilizokuwa zinajinyoosha??lol!!!

haya bhanaa basi utakua ulifichwa na kiTV....
 
Last edited by a moderator:
Shem leo sikufichwa kiviile!!!Nilikuwa kimya nafuatilia maswali na majibu!!
Erickb52 ulishapata dawa ya zile sehemu zilizokuwa zinajinyoosha??lol!!!

Hahaahahahahahahahah kwa kwa kwa kwa!!!!!!!!!
Shemeji marejesho mchokozi wewe!
 
Last edited by a moderator:
Duh, Tanesco leo wamenitenda nikakosa show nzuri na tamu namna hii.
Hizi simu za mchina si mali kitu siku hizi, Hongera Madame B kwa majibu mazuri na yenye kuridhisha

Madame B
Huyu binti kashaenda kusuuza koromeo hapatikani sasa...
 
Last edited by a moderator:
Duh, Tanesco leo wamenitenda nikakosa show nzuri na tamu namna hii.
Hizi simu za mchina si mali kitu siku hizi, Hongera Madame B kwa majibu mazuri na yenye kuridhisha

Mtambuzi siku hizi kuna michina inayotumia Solar power kucharge
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…