Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijapata bado na sioni dalili za kupata dawa labda km unayo teh
na nikujuavyo wewe!! Pale lazmaaaa utarudi! Itanogaje tena?? Kwi kwi kwi !wera weraaaaaaaaaaa!
Aibu yao aibu yetuuuuuu?
99.9% siyo 100%. Ngoja nikamtafute ex wangu banaaaaa!
Hehehehehe! Mi ndo maana sitaki kuwajua maex wa bibi yenu bana.... Nsije nikamsokomezea mvulana wa watu kitu chenye ncha kali kwenye makalio.
Mahawara hawaachani. Source: fidel80
Through themy friend.....Tusimwage kuku wengi kwenye mchele kiduchu![]()
Baba V kama kuna suala lolote kuhusiana na uhusiano wetu naomba mfuate utaratibu,kwa nini mnamrusha roho mwandani wangu kama mmekufa si mseme tu?
Baba V kama kuna suala lolote kuhusiana na uhusiano wetu naomba mfuate utaratibu,kwa nini mnamrusha roho mwandani wangu kama mmekufa si mseme tu?