Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Leooo...
Ok asante,
unajua enzi za udogo usichana nilikuwa mtukutu na mdadisi sana.
Kulikuwa na kitabu flani cha hayo mambo nilikifumania kwenye makabati ya home.
Nakumbuka nilikuwa na 12yrs.
Nilikichukua nikawa naenda nacho shule ili tukaangalie na wenzangu.
Kumbe kuna baadhi yao walikuwa wanafahamu hayo makitu,hvyo tukawa tunafundishana kwa kugusanisha vikojoleo vyetu.
Hvyo tangu hapo nikafahamu kuwa hii dhakari yadumbukia hapa mbeleni.
Jamani na si kwamba nilianza nikiwa na umri huo,la hasha.

Msije sema bure.
Asante.

Hapo kwa nyekundu sijaelewa, naomba ufafanuzi zaidi..................:A S-coffee:
 
Hapo kwa nyekundu sijaelewa, naomba ufafanuzi zaidi..................:A S-coffee:

Ni kweli TANMO hata mi sikuelewa ila nilipotezea.... hebu Madame B njoo utusaidie ingawa show imeisha...lol
 
Last edited by a moderator:
Kutendwa kupo.
Niliwahi kuachwa na mchumba kisa tu,sikutaka kushiriki kimapenzi na kaka yake ambae alifiwa na mkewe.

Nami pia nilishatenda sana wanaume,maana ukija kwa gia mbaya,nakutoa jasho.
Ndio nilishawahi kumkataa mchumba ukweni,tena katikati ya sherehe baada ya kugundua,si rizki.

Kwani hawa Wadudu wanaoa ama wanaolewa?
Kwa nini huku-test kabla hujamruhusu akajitambulishe?
 
snowhite ongea na babu umuweke sawa kwa show

ahahhahhahahhahhahahha mi kwa kweli nataka kusikia ulivokuwa unamtafunisha bibi majani!huku unacheki huku na huku kama kaka zake wanakuja usawa wa mtoni!

ndo nimeanza hapa kiduchu kuduchu!atakaa tu kwenye line!si unajua babu na wajukuu zake wa kike!

Nimeshawambia kuwa maongezi ya watu wazima hayasikilizwi na watoto....

Kigumu nini hapo mbona mnashindwa kuelewa?

Babu DC!!
 
Ha ha ha ha! Kama babu Asprin angekuwa na miakili kama yako hakika jf chit chat wajukuu wangekuwa wametulia!


Uwe unapita huku babu Dark City angalau uje uwafungue wajukuu macho lol.

Yaani wewe unaamua kuniuzia kesi hivi hivi??

Shauri yako, mie nakuacha mwenye umalizane na mzee mwenzangu Asprin,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ahahhhahhhhahhh kwani kuna ubaya gani babu jamani!mtu lirarua minor na sasa hivi anaendelea kurarua minor yule yule lakini sasa hivi akiwa senior!vibaya hivo babu!

Mhhhhh......

Wewe ndo maana huwezi kuwa mwanachama wa 1947 club....

Hapa tunaongelea kosa alilolifanya leo na hajali kama sasa hivi anakula halali au la!!

Halafu nasikia kosa la jinai halina time limit...shauri yake...lazima afikishwe kwa pilato hata kama atakuwa anatembeleaa mkongojo!!

Babu DC!!
 
Huyu kumnasa ni rahisi sana wala usitumie nguvu snowhite taratibu tu


Una uhakika na maneno yako dogo?

Tafadhali sana snowhite, soma vizuri maelezo ya Babu....Yeye husimuliana tu na watu wazima mambo ya kiutu uzima..

Hadithi kama hizi hawapewi wajukuu...wao wanazo zao....

Mmeelewa??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa jibu hili Jamaa anytime anaweza kujihudumia asali.


Kwani hiyo kanuni umeisikia leo mkuu TANMO?

Ndiyo maana wanaume wanawachukia na kuwaogopa ma-ex wa wake zao kama ukoma!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom