sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Labda mtandao sio mzuri babu DC, niko hewani wala sijazima simu kabisa leo!Halafu mbona umezima simu WL?
Au umepigwa ban ya kutumia simu leo?
Babu DC!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mtandao sio mzuri babu DC, niko hewani wala sijazima simu kabisa leo!Halafu mbona umezima simu WL?
Au umepigwa ban ya kutumia simu leo?
Babu DC!!
Labda mtandao sio mzuri babu DC, niko hewani wala sijazima simu kabisa leo!
Ndio mana sio vizuri kuambiana hizi hadithi babu DC, maisha yaanzie mlipokutana basi, mambo ya kuanza kuulzana ma x sio mazuri kabisa!Kwani hiyo kanuni umeisikia leo mkuu TANMO?
Ndiyo maana wanaume wanawachukia na kuwaogopa ma-ex wa wake zao kama ukoma!!
Babu DC!!
hunishindi mimi
Labda mtandao sio mzuri babu DC, niko hewani wala sijazima simu kabisa leo!
Natamani ukutane na Ndaga ze destroyer, wanawake wenzako wapendao makubwa huwa wanaingiaga mitini katikati ya game. Ukiwauliza kulikoni asilimia kubwa wanasema "Akhaa !mwanaume gani yule badala ya kutumia zakari ye anaingiza goti!"
Ntakutumia namba zake lakini usilalamike sikukuonya.
Ndio mana sio vizuri kuambiana hizi hadithi babu DC, maisha yaanzie mlipokutana basi, mambo ya kuanza kuulzana ma x sio mazuri kabisa!
May The Secret Bring You Love And Joy For Your Entire Existence
nami nimefurahi kuwa ktk mahojiano haya tangu saa 4 asubuhi kwa kweli nimefurahi vya kutosha,kwa niaba ya mpenzi wangu Madame B ,napenda kutoa shukrani za dhati kwa Zinduna Erickb52 Chilli Ruttashobolwa Baba V tedo,kwa kweli sitaweza kuwataja wote ila nasema asanteni sana.
May The Secret Bring You Love And Joy For Your Entire Existence
Shikamoo Babu!