Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Kwani hiyo kanuni umeisikia leo mkuu TANMO?

Ndiyo maana wanaume wanawachukia na kuwaogopa ma-ex wa wake zao kama ukoma!!

Babu DC!!
Ndio mana sio vizuri kuambiana hizi hadithi babu DC, maisha yaanzie mlipokutana basi, mambo ya kuanza kuulzana ma x sio mazuri kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Kwani hiyo kanuni umeisikia leo mkuu TANMO?

Ndiyo maana wanaume wanawachukia na kuwaogopa ma-ex wa wake zao kama ukoma!!

Babu DC!!

Hii Zinduna Tok Shoo imenifungua macho, ngoja nianze kuwatembelea akina nanihii kuwajulia hali...
 
Labda mtandao sio mzuri babu DC, niko hewani wala sijazima simu kabisa leo!

Mie nilijua imekwapuliwa ili utulie kwenye viwanja vya home!!

Haina noma...najiandaa kwenda kupiga neno kesho,

Babu DC!!
 
Mkuu Mbona kama hujalipenda hili jibu, Niaje?
 
Ndio mana sio vizuri kuambiana hizi hadithi babu DC, maisha yaanzie mlipokutana basi, mambo ya kuanza kuulzana ma x sio mazuri kabisa!

unaogopa wale ma "x" wa Elite na Amigo eeh!?
 
lol.
Ndo mana ulikuwa umechomolea shatii!
 
Last edited by a moderator:

Nakupendaje wewe.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…