Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Unajua mara nyingi wanawake wenye maumbile makubwa ya nyuma huombwaga sana huo mchezo.
Mimi ni mmoja wao.
Nikiri kuwa niliombwa.
Ila nilitaka kujaribu,lol,
lakini nilichomoa kiaina.
Angenibembeleza....

...................:attention:
 
Ndio mana sio vizuri kuambiana hizi hadithi babu DC, maisha yaanzie mlipokutana basi, mambo ya kuanza kuulzana ma x sio mazuri kabisa!


Acha kunivunja mbavu wewe SL!!

Unajua nini?

Kila mwanamume mwenye akili zilizoenea kichwani lazima atauliza tu idada ya wapangaji waliowahi kulipa kodi ya pango...Ila akishapewa jibu tu, ndo anakumbua kwamba kweli hana akili hata chembe...

Kwa jinsi roho inavyouma, mtu anatamani aachane ni kila mwanamke akachongeshe wa kwake kwa fundi chuma!!

We achana na uchungu wa ma-ex wewe!!

Babu DC!!
 

Babu DC una roho yangu.
Unataka nijibane?
Afu nataka uje nikuhoji nyumbani kwangu,peke yako.
 
Last edited by a moderator:
Tukio lililonihuzunisha ni pale nilipofiwa na mama yangu mzazi mwaka 2008,na kubaki na baba.
Na mwaka huu 2012 tena baba yangu mzazi ambae alibaki na sisi nae amefariki.
Kwa kweli haya matukio sitaweza kuyasahau mpaka naingia kaburini.

Oh 🙁
My condolences dear..
 
Hahahaha! Ukiamua kuuliza uwe na moyo wa chuma babu DC lol, vinginevyo utaishia kujisononesha bure!
 
lol.
Ndo mana ulikuwa umechomolea shatii!


Halafu na wewe Madame B kwa nini unawapagawisha watptp wa wenzio kwa majibu yako ya kuchonga!

Shauri yako, dogo akikata kamba utalijua jiji.....

Badala ya kuhangaika na wewe uliyemzulia zali la mentali anaanza kuwasumbua wake za watu...

Na huyu marejesho sijui kaambiwa na nani kwamba anaweza kutibu watu zaidi ya mmoja hata kama ni kutoa huduma namba moja (first aid)?

Bahati yake Filipo leo hawezi kusoma kwa sababu ya kuzidiwa na kipigo cha TBL na SBL!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, yaani usinikumbushe manake kesho jumapili morning glory ni.kwa padre massawe. Nampenda sana Mungu but i wish ibada ingekuwa jioni, mweeh! Madame B, polee. Raha ya maisha ni kuamka nao aisee.
Daah samahani Madame B, kuna hii kitu King'asti anaiita Morning Glory,Unaichukuliaje ? Ukizingatia wewe ni singo, ukiikosa siku yako inakuwaje, au unafanya jitihada gani kutimiza matakwa ya nafsi na afya yako?
 
Last edited by a moderator:
Babu DC una roho yangu.
Unataka nijibane?
Afu nataka uje nikuhoji nyumbani kwangu,peke yako.


Halafu wewe?

Hilo ombi haliwezi kukubaliwa hata kwa dawa? Labda niombe msaada wa mmojawapo wale niliowakabidhi urithi!!

Cc....Bibi DC!!

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…