Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Mr Rocky unantega.
Ok binafsi vitu ambavyo sivipendi maishani mwangu ni hivi:
1. Kushea mwanaume na mwanamke mwenzangu,
2. Kutongozwa Bar au Club,
3. Uzinzi, Wizi,
4. Kubituliwa,
5. Kuchukua mali ya mtu....Lol.....!!!!!!!!!!!

Kubituliwa maana yake nini ati?
 
Ah wapi!
Alikuwa habandui macho yake mwilini mwangu.
Loo,yani kitaswira kichwani mwake keshanivua nguo.


Hapa sasa umetoa ushahidi muhimu sana...hii confession inamtosha hakimu kutoa hukumu...

Ila kama ni kuwavua nguo zote wakati mnapita mtaani, haki ya nani kila mmoja wenu keshachunguliwa na watu wengi zaidi ya nywele zake zote alizobeba kichwani!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom