Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ni kufirigiswa.
Afu unapewa buku,akhuu...
Kwe kwe kwe! Pacha we mkare lol... Kweli nimeamini kutangulia sio kupata na hakika hiyo siku ikifika wa mwisho atakuwa wa kwanza tehe tehe!Basi ngoja nimlete ndege wangu umuweke tunduni, labda nitaelewa zaidi.......:car:
Umenikumbusha mwaka '74,nilienda kuombewa nikaambiwa marufuku kuombewa huku umevaa nguo.
Babu Asprin you have done great in today's show! As usual it wouldn't be in that flavor without you.
Thank you, and real we honor your presence.
I am awarding you 5 Star! Remember I am the guest of honor in today's show. Na pembeni yangu unayemuona ndiye Mamzalendo.
Hahahahahaha! Ntakukosa pacha wangu khaaa!Nanukuu maelezo ya Madame B: "wanawake waliojazia kwa nyuma, mimi ni mmoja wao" Hata nikigandana milele, mniache!!!
Hahahaha! Umeona alivyojipenyeza mpaka kafika siti ya mbele kabisa lolPacha wako mbayaaaaa
Hahahahahaha! Ntakukosa pacha wangu khaaa!
Mekumiss Mamzalendo, mzima weye?Yaani naringaje kila wakati my dear haachi kunitaja naamini tutadumu ingawa Baba V kaanza bit please wasiliana nae
Yaani naringaje kila wakati my dear haachi kunitaja naamini tutadumu ingawa Baba V kaanza bit please wasiliana nae
Kwe kwe kwe! Pacha we mkare lol... Kweli nimeamini kutangulia sio kupata na hakika hiyo siku ikifika wa mwisho atakuwa wa kwanza tehe tehe!
Mamzalendo unajua kuna kamati ya Baba V lazima tufuate taratibu. LOVE U