Mr Rocky unantega.
Ok binafsi vitu ambavyo sivipendi maishani mwangu ni hivi:
1. Kushea mwanaume na mwanamke mwenzangu,
2. Kutongozwa Bar au Club,
3. Uzinzi, Wizi,
4. Kubituliwa,
5. Kuchukua mali ya mtu....Lol.....!!!!!!!!!!!
Sisemi bana, hivi mlikuwa mnakutanishaje vikojoleo?
Kubituliwa maana yake nini ati?
Ah wapi!
Alikuwa habandui macho yake mwilini mwangu.
Loo,yani kitaswira kichwani mwake keshanivua nguo.
swli hlo unakuwa unaulizwa huku ndege yuko tunduni.
Teh huogopi kugandana?