Hahahahaha! Kwahiyo nianze kulia pacha?Pacha tutaonana hata Paradiso Bana.....
Mekumiss Mamzalendo, mzima weye?
Kila la kheri pacha wanguPacha ngoja nitesti zali kwingine Bana....
Ukiona hivyo ujue ana nyota ya Punda lol.
Mamzalendo unajua kuna kamati ya Baba V lazima tufuate taratibu. LOVE U
Ukiona hivyo ujue ana nyota ya Punda lol.
Hahahahaha! Kwahiyo nianze kulia pacha?
Nyie watu siwawezi...heri yetu tulishajistaafia...
Babu DC!!
Pacha ukipenda Kulia au Kushoto, we anza tu.... Ila lazima Nikapate mafunzo kwa vitendo kwa Madame B. :car:
Kwa Madame B nafuata mafunzo kwa vitendo Arifu, kuna mtu alishaweka kambi pale.
Nyota ya Punda ikoje Pacha?
Uwiiiiiii RIP in advance pacha wangu!Pacha ukipenda Kulia au Kushoto, we anza tu.... Ila lazima Nikapate mafunzo kwa vitendo kwa Madame B. :car: