Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Kiburi hicho kaka!!
watu wanachomolewa Masaki wanakuja ishi tandale seuze Kino

Kudadeki kumbe ulikuwa unawacall mashost zaku mje mumgidie b.wege??
bora nimestukia mapema wacha nilale mbele.

Hahahahahahaaaaa....
 
Ingekuwa kipisi cha mbuni, wallah tungefulia utomvu wa papai. Nenda urudi na teitei mkononi, umeona cv ya Madame B?

CV ndiyo imeni-konvinsi kwenda kwake. Nikirejea Uraiani nina uhakika nitakuwa Gwiji...:cheer2:
 

Nmeipenda confidence interval in you Madame B
 
Last edited by a moderator:
Soki, Kaizer, nemic4u,babu Dc,nicas Mtei, madame B, tedo, Mzalendo, marejesho, manoah...mkalale jamani khaaa....mbona mko tu hapo chini? Wake na waume zenu wanawasubiri kwaajili ya tamutamu.

Ha ha ha ha!!!!! Remmy tulikuwa tunaserebuka!!
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 + Madame B

Kwa maswali na majibu niliyopitia na hata kuniridhisha kwa kweli kama siyo naingia Ibadani hapa Olasit Lutheran Church hakika ningekuwa na la kusema lakini hata hivyo nikitoka hapo kwenye ibada majira ya saa saba nitajakuuliza maswali mawili matatu!
 
Last edited by a moderator:

Nakusubiri.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…