Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Kiburi hicho kaka!!
watu wanachomolewa Masaki wanakuja ishi tandale seuze Kino

Kudadeki kumbe ulikuwa unawacall mashost zaku mje mumgidie b.wege??
bora nimestukia mapema wacha nilale mbele.

Hahahahahahaaaaa....
 
Ingekuwa kipisi cha mbuni, wallah tungefulia utomvu wa papai. Nenda urudi na teitei mkononi, umeona cv ya Madame B?

CV ndiyo imeni-konvinsi kwenda kwake. Nikirejea Uraiani nina uhakika nitakuwa Gwiji...:cheer2:
 
Asante sana Erickb52 na niko tayari kwa maswali.

Mimi nilijiunga na Jf tar 9 April 2012,
na nilijiunga baada ya kukutana na member ambae simfahamu ID yake mpaka leo.
Katika kupiga stori akaongelea kuhusu Jf.

Kiukweli nilivutiwa na nilipofika home nikamwambia dada Kijino aniunganishe.
Hvyo nikaingia rasmi humu dimbani.

Kilichonisukuma ni upendo nilionan kwa Jf kwa Ujumla.
Asante.

Nmeipenda confidence interval in you Madame B
 
Last edited by a moderator:
Soki, Kaizer, nemic4u,babu Dc,nicas Mtei, madame B, tedo, Mzalendo, marejesho, manoah...mkalale jamani khaaa....mbona mko tu hapo chini? Wake na waume zenu wanawasubiri kwaajili ya tamutamu.

Ha ha ha ha!!!!! Remmy tulikuwa tunaserebuka!!
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 + Madame B

Kwa maswali na majibu niliyopitia na hata kuniridhisha kwa kweli kama siyo naingia Ibadani hapa Olasit Lutheran Church hakika ningekuwa na la kusema lakini hata hivyo nikitoka hapo kwenye ibada majira ya saa saba nitajakuuliza maswali mawili matatu!
 
Nakusubiri.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom